Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Well let me see
1. Mchele
2. Unga noo, mimi mwanaume wa Dar
3. Maharage
4. Maji ya kunywa
5. Should i take ng'ombe kuku or samaki
6. Condoms box zima or pakiti 5 tu
7. Sugar
8. Bread
9. Sanitizers na mask kadhaa
10. Fruits
11. Milk
12. Multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa sana ila am kinda frightened.

Demu wangu kanambia anakuja kwangu kipindi chote hiki cha Corona.

Anyway nadhani sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
Mkuu samahani, hivi unawezaje kukaa na demu ndani wiki halafu mtumie condom kwa kila tendo? Yaani mkiwa bafuni mnaoga ghafla ikisimama unatoka na mapovu yako kwenda kutafuta ndom chumbani, au unasambaza ndom nyumba nzima kuanzia sebuleni, jikoni, bafuni nk?
 
Nna Phd ya matumiz ya ndom, na ndo imenifanya niwe hai had leo, sabab train nililonalo linaweza fika chato
 
Back
Top Bottom