Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,742
- 32,346
ni wa kike au au kiume?Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.
Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.
Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
Pole sana Mkuu, Hapo wewe bado hujasimama, Toa conditions kuwa huyo dogo ana Kera na Uwambie ukiwepo hutaki Kuona Huo Ujinga kabisa machoni mwako
Niliwahi kudate na Mtu wa Ivo na alikuwa na Toto analidekeza hatari ilikuwa nikifika dogo Anakosa raha kabisa na Ujinga wote anaacha mana dakika Moja mimi ni Kiboko nachapa, Na Kila Nikiwepo Mazingira hayo dogo hakuna Kulala wala Kushinda Chumbani kwa mama yake
Single mothers Changamoto sana Upuuzi wao ni Kudekeza watoto sana Ovyo kabisa
Ilikuja Nikapiga Chini
Nshamwambia soma uzi vizuri. Mama anatetea. Sasa nadhani ni kumwacha alee mtoto wake vivyo hivyo.kama umeshindwa kumuambia huyo single mama wako basi nawewe ni Baba narenare!.
Huwezi kabili au badilisha mtoto ambaye si wako bila idhini ya mamaye. Utaonekana unamchukia.Moja ya sifa ya mwanaume ni kukabili matatizo ya kifamilia yaliyo mbele yako na sio kuyakimbia.
Jipime uanaume wako kwa kumfanya huyo mtoto atokee kama mtoto.
hata kama sio wako, ila jipe challenge kuwa je angekuwa wako ungemnyooshaje?
Wa kiume.ni wa kike au au kiume?
Aiseeeee.....mimi mitoto nare nare kwa kweli sipendi. Inanikwaza sanaHahaaaa sema ma single maza jau sana kwa jinsi wanavyolea watoto wao ni dhahiri hata waliowazarisha wanakua wanaona mzigo
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.
Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.
Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
hapo pana shughuli pevuWa kiume.
ππππTulikubaliana usioe mwanye mtoto ata km mtoto ni wako