Naona Kula Mgahawani ni nafuu kuliko kupika kwa mtu mmoja

Kusema ukweli kwa mtu mmoja kupika mwenyewe ni usumbufu zaidi bora tu ule mgahawani.

Faida unazozikosa ni ubora wa chakula kwa kuwa hauna maamuzi au mamlaka juu ya kiasi na aina ya mafuta wanayotumia, ubora wa nafaka na vitu vingine.

Hii ni tofauti na ukiandaa mwenyewe, tatizo ni ile usumbufu na kupoteza muda.
 
Kusema ukweli kwa mtu mmoja kupiga usumbufu ni mwingi bora ule mgahawani.
Faida unazozikosa ni ubora wa chakula kwa kuwa hauna maamuzi au mamlaka juu ya kiasi na aina ya mafuta wanayotumia, ubora wa nafaka na vitu vingine.

Hii ni tofauti na ukiandaa mwenyewe, tatizo ni ile usumbufu na kupoteza muda.
Hakika mkuu!!
 
Hahaha

sasa mkuu we hujui unaenda pika nini kwani? Huwezi kuwa serious, unataka uunge mboga kisha ufikegeto umesahau kitunguu na nyanya
Najua mkuu...unajua wanaume ni tofauti na wanawake. Mwanamke anaelewa labda ndani..vitu hivi vinakaribia kuisha....nini kinahitajika hasa kwenye maswala ya maakuli...lakini kwa mimi sometime na gues viungo vingine vitakua ndani...ko sinunui..kumbe vishaisha..ndo balaa linaanzia hapo
 
Back
Top Bottom