kamanda wa kamanda
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 191
- 75
Toka nae ili watu wajue atakuachia mana ataona aibu.ila *
Unawazimikia sana naona....
Na mkeo nae anakulwa na huyo mpangaji mwenzio
Tafuta kibao cha crazy GK kinaitwa "Nitakufaje" kitakusaidia mawazo zaidi
Si umeshalamba mara moja? Inakutosha. Ukizidisha hapo utanogewa then kifo kitakufuata...
usikute ni mipango inasukwa dada na mume wake wajipatie boda boda ya bure kama fainiSubiri kubakwa
Mliooa mnaandika lakini?