Naona kifo kinaninukia

Naona kifo kinaninukia

Kwa usalama wako , nakushauri uanze kutembea na mafuta ya KY
kwenye mfuko , kwani siku utayobananishwa kwenye "fume chamber"
itakusaidia kidogo kupunguza "kwikwi" kwenye dotto maana itachakzwa vibaya mno

Ref: Yule jamaa aliyebambiwa Temeke na kisha kupigwa cheni (mtungo) na midume mpaka yaka mwagia uterezi mweupe.

Nimecheka sana huu ushauri kiboko. But true!!!
 
Nakubaliana na MKEMIA MKUU wa serikali.
 
Wewe ndio mpumbavu namba moja ulishawahi ona wapi sumu inajaribiwa au kuonjwa? Shame on you
 
Sasa hivi nimemkatisha matumaini, nimemtumia sms ya kwamba tuachane na suala hilo, nimemuamuru apende familia yake na mimi nibaki na ya kwangu. Sasa hajanijibu mpaka sasa na tulikua tunachat vizuri tu.
 
We endelea kujitafutia balaa yaani Nke ya Mutu unaiandikia msg?? Bwana ake akiifuma??? Sidhani kama tigo yako itakuwa salama.
 
Kwa usalama wako , nakushauri uanze kutembea na mafuta ya KY
kwenye mfuko , kwani siku utayobananishwa kwenye "fume chamber"
itakusaidia kidogo kupunguza "kwikwi" kwenye dotto maana itachakzwa vibaya mno

Ref: Yule jamaa aliyebambiwa Temeke na kisha kupigwa cheni (mtungo) na midume mpaka yaka mwagia uterezi mweupe.

we jamaa bhana
 
Acha kulala na mke wa mtu,haijalishi huyo jamaa ni mpole kiasi gani ila siku akigundua atakufanyia kitu ambacho hutaamini.
 
Kufa hutakufa lakini si vibaya ukaulixia bei ya wanja na leso
 
achana na upuuzi wa kuendekeza tamaa za mwili, mwisho wa siku utararuliwa marinda bure!!

usilopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzako.
 
Habari zenu waungwana, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninaishi na mke na mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 6, naishi nyumba ya kupanga, tuko wapangaji wawili kila mmoja ana mke wake.
Lakini cha kushangaza mke wa mpangaji mwenzangu anaonesha ishara za kimapenzi kwangu na isitoshe kibaya zaidi.......
Jana nikiwa na pikipiki nilikua naelekea mjini, nikamkuta njiani, nikampa lift cha ajabu nikaona ananishika kwenye kiuno changu.
Hatukuishia hapo, usiku akaniambia ana mazungumzo na mimi, ilikua mida ya 2 usiku, tukakaa kwenye uchochoro na kuanza swaga za kimapenzi, mimi nikajikuta naanza kuteleza kama nyoka. Leo sasa mida ya saa 5 asubuhi amenambia nimpeleke tena safari yake, sikugoma nikaenda, sasa cha kushangaza akaanza tena pigo zake zile zile na mimi nikaanza kuchanganyikiwa, tukaenda gheto moja ambalo anamiliki mdogo wangu anaesoma chuo na kuanza malavidavi, lakini baada ya kumaliza nimekaa na kujifikiria mambo mengi ambayo yaliwakuta wengine.
Kwa maana hiyo sidhani kama itakua siri kipindi chote hiki, lazima nitabambwa siku moja, sasa waungwana nimelileta kwenu nipate ushauri kutoka kwenu, maana naona kama vile nachungulia kaburi kwa makusudi.
NOTE: SIKARIBISHI MATUSI NIPE CHANGAMOTO ZENYE KUNIWEZESHA NIJIKWAMUE NA TATIZO HILI.

Muoshwa uoshwa kaka
 
Kumbe ndio weye unaenilia vyangu mkuu basi usihofu naja na vijana wenzio
 
Back
Top Bottom