Naona kama ana nguvu ya kukubarika anaweza kuwa Rais akisimama?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,503
2,000
Hodi jukwaa la siasa
Muwazima wa Afya?
Anaitwa Joseph Haule Maarufu kama Profesor Jay
Sina sana uelewa na siasa wala sijajua huwa zinakuwaje kuwaje, NImeangalia tu nguvu ya kukubalika na watu ama ile tunasema nyota ya kukubarika naona kama huyu jamaa akiamua kuwa raisi anaweza akawa na mvuto wa kipekee kwa raia
mnalionaje wadau wa siasa na mitazamo mingine?

Ndio-Mzee.jpg
 

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,418
2,000
J anajua how to play nice,hana zile siasa zakina Msigwa au Lema.....na hata mkulu ana mkubali sana si ajabu 2020 ndio akawa mbunge pekee wa upinzani(kama ataendelea kuwa CDM lakini) atakayebakia mjengoni ukiacha mzee Cheyo📌
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
16,166
2,000
Ana kila sifa pamoja na kuwa mpinzani ila hajawahi kuwa mpuuzi puuzi,bungeni hata jimboni sijui familiani.
 

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,503
2,000
Ni kiongozi mzuri na ni miongoni mwa viongozi makini walio upinzani, sema Kwa sasa Urais kuupata akitokea Upinzani haiwezekani

Ni rahisi sana Ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko kizazi chetu kushuhudia rais anayetokea upinzani
Ha ha ha ha
yaaani nimecheka naona hadi kwa jirani wamepunguza sauti ya redio wajue kinaendelea nini:D:D:D
 

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,503
2,000
Tunamtaka Membe msitusahaulishe.
Ha ha ha ha h
sawa mkuu mimi sijajua juu ya hilo la Membe ndio maana nikasema tuangalie kwa mtazamo wa mvuto jinsi anavyoweza kukubarika na watu/mvuto kwa watu
ukirudia tena kusoma hoja yangu utagundua sijoengelea mambo ya siasa hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom