- Thread starter
- #21
Bora mchumba inakaaTeh teh una kumbukumbu nzuri Sana ๐๐๐๐๐

Wakina mama ndyo wadada hao haoMjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo.
Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale!
Et kweli na ww unaona mwa4 na bhoke ni madada na yule mwingne! mi naona mdada angalau awe below 20 ki umri .
Mtu usoni pumb* like ngoz nae Dada no ooo ,kifua Batista ,mguu nsajigwa nae dada !!!,
Nyingne *,boyfriend na girlfriend * mtu uko above 30 na ww unatambulishwa boyfriend how! kitambi kule ,shavu hilo co sawa mi naona ..
Mjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo.
Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale!
Et kweli na ww unaona mwa4 na bhoke ni madada na yule mwingne! mi naona mdada angalau awe below 20 ki umri .
Mtu usoni pumb* like ngoz nae Dada no ooo ,kifua Batista ,mguu nsajigwa nae dada !!!,
Nyingne *,boyfriend na girlfriend * mtu uko above 30 na ww unatambulishwa boyfriend how! kitambi kule ,shavu hilo co sawa mi naona ..
Mkuu unawaza vzr ,kama mm ,Any girl without virgin she's a woman. Huwe na 15 au 50 bila virgin wewe ni rmwanamke, ukijaaliwa mtoto wewe ni mmama.