Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
Mkuu, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na maono anayoona yanafaa.Kumbe ameandika Gamba- SIMIYU YETU! Napitaaa. Makamanda hatumtaki ZZK magamba simmchukue?
Baada ya siku 14 kuisha utayakumbuka maneno yangu na utanikumbuka kama humtaki zitto jiandae kuhama chadema anarudi na nguvu mpya zitto hafukuziki ndani ya chadema.Kumbe ameandika Gamba- SIMIYU YETU! Napitaaa. Makamanda hatumtaki ZZK magamba simmchukue?
Ni wema ukaandika kitu ambacho wengi wanakijua. Hapo umeandika nini? Vinginevyo mods shughulikia hii kituMahine!!!
Viongozi wote wa chadema wanamgwaya zitto baada ya kupata tarifa za kuanza mazungumzo ya zitto kurudishiwa nafasi zake sasa Lisu anaumwa kwa hofu make walimbeza kwa kejeli wanawaza akirudi itakuwaje?Hakika nguvu ya Zitto imedhihiri ndani ya CHADEMA
Inafahamika zzk hawezi kufukuzwa cdm
Kwamba kina Juliana Shonza, Mwampamba, Nyakarungu, Chagulain, Madiwani watano wa Arusha, Ali Chitanda, Mwigamba, Kisandu, Kafulila, Danda Juju, Thomas Nyimbo, Johna Shibuda, Eddo Makata, Said Arfi, Habib Mchange, Henry Matata, na Chagulani Adams wote waombwe radhi? .....Naamini mtoa hoja ana akili timamuUnasema wenzake wapi? Na yule Dr.aliyeandika kuwa alishajiuzulu tangu mwaka 2010 ?
Ha ha ha ha mwaka huu mtapata uchizi.Baada ya siku 14 kuisha utayakumbuka maneno yangu na utanikumbuka kama humtaki zitto jiandae kuhama chadema anarudi na nguvu mpya zitto hafukuziki ndani ya chadema.