Naona dalili zote za Zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongonzi ndani ya CHADEMA

Kama mliweza kumsikiliza slaa akiwa kakonko aliongea kwa hofu kubwa na kudai kuwa zitto hajafukuzwa anaweza kurudishiwa nafasi zake za uongozi wakati huo huo vikao bikiendelea vya kutaka arudishwe kwenye uongozi huku chadema wenyewe wanakili kuwa bila zito chadema kitayumba.

waambie mana hawaamini kua zitto ni sehemu ya mafanikio ya chedema vijana wa chadema wamekaririshwa kumchukia zitto kwa manufaa ya wakubwa wa chama hicho.
 
Kama Zitto ni mwiba kwa CCM, kwanini magamba mnampigia debe ili abaki CHADEMA?
 
Zitto Zuberi Kabwe Ndinga kiongozi anaelitikisa taifa. Kivuli chake kinaishi. Uliza mitaa ya mwandiga kinachoendelea.
 
kama wamenya ndizi msibani wako wanawaza wanawaza na kubashiri maamuzi ya wanaume yatakuwaje''''ni bora kusubiri kuliko kuwa na mawazo mtandio
 
wakuu kunakila hali ya mh.zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi kwenye chama chake hii inatokana na ziara anazofanya dr slaa mikoani na kukutana na upinzani mkali ambao hakuutegemea wazee wa chama cha chadema wameagiza maridhiano yafanyike zitto aruhusiwe kugombea uenyekiti na kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi.

Hii inakwenda sambamba na wenzake wote waliofukuzwa na wao watarejeshewe nafasi zao na kuombwa radhi kwa kuzushiwa uongo, chadema wamegundua kuwa endapo zitto atafukuzwa anaweza kukiua chama mapema kabisa ndipo walipoamua bora arudishiwe nafasi zake zote na kuombwa radhi.

Jukumu la kumaliza tatizo hili amepewa pf baregu na wenzake,ngoja tusubiri safari inaendelea.

arudishiwe nafasi? Kuna kila dalili ya zitto kutimliwa chamani
 
Zitto Zuberi Kabwe Ndinga kiongozi anaelitikisa taifa. Kivuli chake kinaishi. Uliza mitaa ya mwandiga kinachoendelea.
Mwandinga ndo nini na wewe? Hapo wanasumbuliwa na njaa tu njooni Kalinzi mmchukue ndizi mkale mtakalia kuhangaika na Zitto mtakufa maskini badala ya kuandamana kudai mambo ya maana mnakalia majungu tu. Ndugu wana wa Kigoma kama tunaona Zito kaonewa tuungane tumwambie aanzishe chama vinginevyo tutaonekana wajinga tu
 
Back
Top Bottom