Naona dalili zote za Zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongonzi ndani ya CHADEMA

Huo upinzani amekutana nao ehemu gani? Kama upo hauna tofauti na anaokutana nao Rais Kikwete maaana mawaziri huwa wanazomewa na wananchi mbona hawafukuzi? Hizo ni changamoto za majukwaani.
 
Wakuu kunakila hali ya mh.zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi kwenye chama chake hii inatokana na ziara anazofanya dr slaa mikoani na kukutana na upinzani mkali ambao hakuutegemea wazee wa chama cha chadema wameagiza maridhiano yafanyike zitto aruhusiwe kugombea uenyekiti na kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi.

Hii inakwenda sambamba na wenzake wote waliofukuzwa na wao watarejeshewe nafasi zao na kuombwa radhi kwa kuzushiwa uongo, chadema wamegundua kuwa endapo zitto atafukuzwa anaweza kukiua chama mapema kabisa ndipo walipoamua bora arudishiwe nafasi zake zote na kuombwa radhi.

jukumu la kumaliza tatizo hili amepewa pf baregu na wenzake,ngoja tusubiri safari inaendelea.

Unamaana na wenzake wote waliyofukuzwa ni akina Juliana na Mwampamba?.
 
Wakuu kunakila hali ya mh.zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi kwenye chama chake hii inatokana na ziara anazofanya dr slaa mikoani na kukutana na upinzani mkali ambao hakuutegemea wazee wa chama cha chadema wameagiza maridhiano yafanyike zitto aruhusiwe kugombea uenyekiti na kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi.

Hii inakwenda sambamba na wenzake wote waliofukuzwa na wao watarejeshewe nafasi zao na kuombwa radhi kwa kuzushiwa uongo, chadema wamegundua kuwa endapo zitto atafukuzwa anaweza kukiua chama mapema kabisa ndipo walipoamua bora arudishiwe nafasi zake zote na kuombwa radhi.

jukumu la kumaliza tatizo hili amepewa pf baregu na wenzake,ngoja tusubiri safari inaendelea.

Kuna Kima alianzisha Kuwa Baregu kajiuzulu. Kifupi tunafukuza Zitto wiki ijayo. Atabakia Mbunge wa mahakama
 
Zitto ni alama ya mafanikio ya vijana wenye Ndoto TZ.ZITTO JEMBE!!.ZITTO akunaga!!Kama nyinyi WACHAGGA munataka kuuona MZIKI wake, MFUKUZENI kudadadeki!!!
 
Wakuu kunakila hali ya mh.zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi kwenye chama chake hii inatokana na ziara anazofanya dr slaa mikoani na kukutana na upinzani mkali ambao hakuutegemea wazee wa chama cha chadema wameagiza maridhiano yafanyike zitto aruhusiwe kugombea uenyekiti na kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi.

Hii inakwenda sambamba na wenzake wote waliofukuzwa na wao watarejeshewe nafasi zao na kuombwa radhi kwa kuzushiwa uongo, chadema wamegundua kuwa endapo zitto atafukuzwa anaweza kukiua chama mapema kabisa ndipo walipoamua bora arudishiwe nafasi zake zote na kuombwa radhi.

jukumu la kumaliza tatizo hili amepewa pf baregu na wenzake,ngoja tusubiri safari inaendelea.
Simiyu Yetu!

Ikitokea ulicho andika siyo kilichotokea kwa Zitto tutaomba mods wakufungie kwa kuigeuza JF kama sehemu ya hovyo hovyo !

JF ilikuwa inasifika kama most reliable source of infos lkn siku hizi hawa Lumunba 7FC wamepageuza kama shamba la uzushi!
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni alama ya mafanikio ya vijana wenye Ndoto TZ.ZITTO JEMBE!!.ZITTO akunaga!!Kama nyinyi WACHAGGA munataka kuuona MZIKI wake, MFUKUZENI kudadadeki!!!

Mentality ya kuogopa watu ni utamaduni wa CCM sio CHADEMA!Kule Bukoba Rais akatoa amri madiwani wapatane na Meya usiku huo huo madiwani wakamkatalia Rais!

CCM ni chama kilicho kufa
 
Zito Ni mtu wa kimataifa mbowe atamuweza wapi kenda shule anaaminika kimataifa kwa uwezo wake Hamna jeuri ya kumfukuza
 
CDM haitokufa wazee naomba mkariri hilo! Hii ni kutokana na kujikita katika misingi ya ukweli na msimamo bila kujali nguvu aliyonayo kiongozi kwenye chama! Nilichogundua nikwamba wasiopenda CDM wanatumia garama kubwa kuwa na influence mitandaoni.
 
Viongozi wote wa chadema wanamgwaya zitto baada ya kupata tarifa za kuanza mazungumzo ya zitto kurudishiwa nafasi zake sasa Lisu anaumwa kwa hofu make walimbeza kwa kejeli wanawaza akirudi itakuwaje?
ndugu zangu wa CDM na CCM hii ni vita ambayo ni ya muda mrefu na kama ni mbinu ya kuivuruga CDM , basi watu hawa walienda chuo kikuu kusomea kuvuruga vyama , lakini leo hii kwa kuwa wananchi hawajawa updated na mambo ya siri ya kichama inakuwa kazi sana kuwa habarisha , ni waombe wana CDM kikao cha chama maadam ndiyo kimeamua wa kina ZZK wana hatia basi tuachie hapo, niseme hata kumrudisha tena ni kikao kiamue si kama wanavyowaona mbowe na slaa kuwa wapo nyuma ya hili , NO SI KWELI
 
Wakuu kunakila hali ya mh.zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi kwenye chama chake hii inatokana na ziara anazofanya dr slaa mikoani na kukutana na upinzani mkali ambao hakuutegemea wazee wa chama cha chadema wameagiza maridhiano yafanyike zitto aruhusiwe kugombea uenyekiti na kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi.

Hii inakwenda sambamba na wenzake wote waliofukuzwa na wao watarejeshewe nafasi zao na kuombwa radhi kwa kuzushiwa uongo, chadema wamegundua kuwa endapo zitto atafukuzwa anaweza kukiua chama mapema kabisa ndipo walipoamua bora arudishiwe nafasi zake zote na kuombwa radhi.

jukumu la kumaliza tatizo hili amepewa pf baregu na wenzake,ngoja tusubiri safari inaendelea.

Ndio mnazidi kumharibia huyu kibaraka wenu
 
Zitto ana diwani mmoja tu ktk jimbo lake!Kyela tuna nadiwani 6 wa kuchaguliwa!

Statistics never lie;Zitto hana nguvu zozote za kisiasa Kigoma!Dr Slaa kafanya CCM itoweke Karatu;Mbowe kafanya CHADEMA watawale Hai na Lema kafanya CCM ichakachue Arusha!

Una diwani mmoja tu then wapambe wanakuita kama una nguvu ahhaahaha

MKuu umemaliza kabisa..niliwahi muuliza mshabiki wa Zitto mtaani.Baada ya kukomaa sana kuwa Zitto hupangua hoja za CC, zijui wanampinga Zitto ni CCM, sijui Zitto kajenga chama sana.Nikamuuliza anipe ushahidi km Zitto aliwahi ingiza wanachama kuliko hata mtu km Mawazo aliyeingia Juzi..akaja juu sijui chuki binafsi sijui nini..mwishowe akadaia kwa Zitto kaja Siku nyingi.Nikamwambia siku nyingi hizo CDM ilikuwa inaingiza wanachama wangapi kwa siku zitto akisimama,na leo mkutano mmoja wa Chama unaingiza watu wangapi ktk chama...bahati nzuri alikuwa na data akema siku hizi wanaingia wengie sana.Nikamwambia inatosha kwa vile siku ambazo mavuni ni mengi Zitto haendi vuna,wala panda.
 
Wakuu kunakila hali ya mh.zitto kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi kwenye chama chake hii inatokana na ziara anazofanya dr slaa mikoani na kukutana na upinzani mkali ambao hakuutegemea wazee wa chama cha chadema wameagiza maridhiano yafanyike zitto aruhusiwe kugombea uenyekiti na kurudishiwa nafasi zake zote za uongozi.

Hii inakwenda sambamba na wenzake wote waliofukuzwa na wao watarejeshewe nafasi zao na kuombwa radhi kwa kuzushiwa uongo, chadema wamegundua kuwa endapo zitto atafukuzwa anaweza kukiua chama mapema kabisa ndipo walipoamua bora arudishiwe nafasi zake zote na kuombwa radhi.

jukumu la kumaliza tatizo hili amepewa pf baregu na wenzake,ngoja tusubiri safari inaendelea.

haha..kwa akili yako huu ujinga uta wa influence CC?
 
labda kama unaona kwa kutumia ile mawani aliyokuwa anatumia mwalimu nyerere.idiot
 
hizi habari za kutunga zinachosha sasa, ili mradi tuuu umepost hata kama ni matapishi, hata kama unalipwa this is too much.
 
Back
Top Bottom