Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao

Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....

KALAGHABAHO!!
Kama sisi wanaccm ni milioni 17 ndo mtaji wetu kwa nini tunaomba kura. Fikirisha akili kidogo tusionekane kituko ktk mitando.
 
Ukimsikiliza Kheri James utagundua hofu yake kubwa iko katika Chadema kulinda kura zao baada ya uchaguzi.

Hapa umeweka kisu kwenye mfupa. Wanajua fika lazima waibe ili kupata ushindi wautakao, lakini jinsi Lisu anavyoamsha hamasa kila mahali, wanajua itakuwa shida kubwa sana. Sasa namna pekee ni kuhakikisha wanaanzisha hujuma mapema. Tathmini yao kwenye haya mapumziko yao yamewaonyesha uwezo wa kushindana kisiasa unazidi kuwaelemea, hivyo namna pekee ni kurudia mbinu zao ovu zinazowafanyaga watangazwe washindi ni matter what. Walitarajia cdm iwe na mwitikio mdogo, lakini wanachokiona wanajua fika wakiigiza siasa za kweli haziwatoi bila uharamia.
 
Vyovyote itakavyokwenda Kuwa...
Uchaguzi Huu Utatubadilisha Jinsi Ya KUFIKIRI Sisi na Vyama Vya Upinzani...

CHANGAMOTO Hazikimbiwi.....CHANGAMOTO zinaimarisha MTU,WATU,TAASISI NA JAMII.....

Hapa umesema kweli. Kabla ya hizi kampeni kulikuwa na picha ya kutengeneza isiyo halisi, lakini baada ya hizi kampeni kuanza picha halisi imeonekana.
 
Hapa umeweka kisu kwenye mfupa. Wanajua fika lazima waibe ili kupata ushindi wautakao, lakini jinsi Lisu anavyoamsha hamasa kila mahali, wanajua itakuwa shida kubwa sana. Sasa namna pekee ni kuhakikisha wanaanzisha hujuma mapema. Tathmini yao kwenye haya mapumziko yao yamewaonyesha uwezo wa kushindana kisiasa unazidi kuwaelemea, hivyo namna pekee ni kurudia mbinu zao ovu zinazowafanyaga watangazwe washindi ni matter what. Walitarajia cdm iwe na mwitikio mdogo, lakini wanachokiona wanajua fika wakiigiza siasa za kweli haziwatoi bila uharamia.

Hapa umeweka kisu kwenye mfupa. Wanajua fika lazima waibe ili kupata ushindi wautakao, lakini jinsi Lisu anavyoamsha hamasa kila mahali, wanajua itakuwa shida kubwa sana. Sasa namna pekee ni kuhakikisha wanaanzisha hujuma mapema. Tathmini yao kwenye haya mapumziko yao yamewaonyesha uwezo wa kushindana kisiasa unazidi kuwaelemea, hivyo namna pekee ni kurudia mbinu zao ovu zinazowafanyaga watangazwe washindi ni matter what. Walitarajia cdm iwe na mwitikio mdogo, lakini wanachokiona wanajua fika wakiigiza siasa za kweli haziwatoi bila uharamia.
Nilimsikiliza anasema Tundu Lissu anataka NEC ifanye kazi kwa matakwa yake ilhali Lissu amesisitiza umuhimu wa Chadema kuwa na mawakala wake katika kila kituo cha kupiga kura. Kumbe hapa ndiyo kwenye upenyo wao wa kuiba kura.
 
IMG-20200912-WA0051.jpg
 
Watu Aina Ya Tundu Lissu Huwa Wanakuongezea FIKRA TUNDUIZI na kukufinyanga kuiangalia DUNIA Tofauti na Ulivyoizoea ama kujizoeza.....

Ukitaka Kuua THINK TANK ndani ya CHAMA basi dhibiti PARTY CAUCUS.....

CCM ni chama kinachopitia Mengi na Lazima Kiendelee Kupitia MENGI ili kiwe BORA Tena na Tena.....

Dunia inakwenda Kasi Sana....

Mungu Mwenyezi atuweke TUFIKE OKTOBA 28,aaamin

Wala usizunguke sana, mwenyekiti wenu ndio alikuwa analazimisha mitazamo yake na sio uhalisia. Matokeo yake akatengeneza hofu kwa kila mtu mpaka ndani ya chama chake. Hali hiyo imeifanya ccm ishindwe kushindana kisiasa na kuiacha ccm ikitegemea kubebwa na madaraka yake. Imefika siku inapaswa kushindana kiukweli imekuta chama kimeshalemaa, ndio maana wasanii wanachukua 90% ya mikusanyiko ya ccm,na kuacha 10% ikija kwa ajili ya sera!
 
Hapa umesema kweli. Kabla ya hizi kampeni kulikuwa na picha ya kutengeneza isiyo halisi, lakini baada ya hizi kampeni kuanza picha halisi imeonekana.
 
Chama kilichoko madarakani kwa huku Afrika kujaza watu wala sio habari, maana wao wanaweza kulazimisha watu, na wana access na hazina ya taifa. Hivyo wana uwezo wa wao kuchota pesa ili kukusanya watu ni kirahisi sana. Wapinzani tena wanaofanyiwa ukatili wa wazi kuendelea kupata watu kwenye mikutano yao hiyo ndio habari. Unapoona watu wanaenda kwa mapenzi yao kwa wingi, huku wakichangishwa, ni tofauti kabisa na chama kinachogawa chakula, huku kukiwa na fiesta. Hiki kinachoendelea kwenye hizi kampeni ndio utajua kweli ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom