KIJITOSAMAKI
Member
- Sep 2, 2020
- 29
- 16
CCM ya sasa ipo disorganized kuliko wakati wowote wa kampeni.
Wapinzani wakikaza kwenye kampeni na kulinda kura, CCM watapoteza sana.
CCM hasa hii ya JPM, imewaumiza wengi sana. Hawana cha kumuuza. Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.
Zaidi ya hapo hakuna.
HAYO ULIYOYATAJA NI MAKUBWA MNO. CHADEMA MMESHINDWA KUJENGA HATA OFISI MOJA KWA MIAKA MITANO PAMOJA NA KUPATA RUZUKU YA MILIONI 336 KILA MWEZI. HATA KUPIGA RANGI OFISI YA MAKAO MAKUU DSM MMESHINDWA. PESA ZOTE AMEKURA MBOWE. HALAFU ETI TUWAKABIDHI NCHI. HAKUNA KITU KAMA HICHO. ENDELEA KUCHOMA MAOFISI YENU TU NDO KAZI MNAYOIJUA.