hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 2,811
- 5,598
Sure yani.Asee
Asee hz ID zinatufanya tusifahamiane kabisa na unaweza kuta jamaa ni mwana tuu na kila siku mpo nae mtaa mmoja lakin ndio hvyo hamfahamiani 😁
Sema ndo mambo ya anonimity.
Mnapitana kwa comment tu.