Naombeni uzoefu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo

Hapo ni stone town, uswahili upo lakini sio kiviile kutokana na muingiliano na wageni. Kuna maeo ya uswazi Kama mwembe yanga, magomeni, majicoast n.k huko ni hatari tupu.
Mkuu mm nilifika bagamoyo sema ilikuwa kwenye maonyesho ya sanaa pale Tasuba sikuweza kuzunguka kwa sana ila nilivutiwa sana na mazingira ya stone town natamani sana nirudi tena nifanye utalii wa ndani mkuu we ni mwenyeji wa huko?
 
Hapo ni stone town, uswahili upo lakini sio kiviile kutokana na muingiliano na wageni. Kuna maeo ya uswazi Kama mwembe yanga, magomeni, majicoast n.k huko ni hatari tupu.
PATAMU kila kona unakuta watu wa sanaa wale wanachora picha kuna hotel moja ,matat na hapa hosiptali pembeni kuna jengo moja jeupe isjui ni msikiti au hotel liko poa sana
 
🤣🤣🤣🤣Bagomoyo nilipadharau ila kufika nimeona kuna maendeleo hotels za maana duh we acha izo lodges kibao za hazi ya kiwango
Hata mimi nilifika hivi karibuni, nilipaona pako poa.......ingawa mambo mengi siyajui kiundani, labda wajuvi waje....
 
Mkuu mm nilifika bagamoyo sema ilikuwa kwenye maonyesho ya sanaa pale Tasuba sikuweza kuzunguka kwa sana ila nilivutiwa sana na mazingira ya stone town natamani sana nirudi tena nifanye utalii wa ndani mkuu we ni mwenyeji wa huko?
Mm simwenyeji Sana, ni mgeni pia... Kama unakumbuka enzi za jakaya mwishoni na ule mradi wa bandari bagamoyo, Mshua alikua ni miongoni mwa walioenda kununua viwanja, mradi ulipobuma akaamua kujenga. Sasa kwa maana hiyo nilibahatika kukaa Kama mwaka 1 hivi, so Nayajua maeneo mengi Sana ila sio yote.
 
Inaonekana kuna kupigana kwenye mambo ya mashamba na viwanja kinamna.......ni kujitahidi kuwa mwangalifu tu.
Ni kweli usipokuwa mwangalifu ukienda kichwakichwa unalizwa tu.

Miezi kama minne nmetoka kumuokoa rafiki yangu na kupigwa kama m15 hivi.

Alitaka kuuziwa shamba makurunge.
 
Bagamoyo ni mji unaokua kwa Kasi Sana, maisha ya kule yako chini kidogo kulingwnisha na dar, mfano sahani ya wali / ugali kwa mama lishe ni 1000/, chips kavu 1000/ kilo ya nyama 6000/ n.k kifupi vyakula vyote viko chini sana...

Chumba kinaanzia 10,000/ na kina umeme, ukipanga chumba Cha 30,000 kwa dar ni 60k - 70k. Pia hiyo bandari bubu hapo ukiwa mjanja itakunufaisha Sana, watu wanapitisha magendo hapo balaa hasa mafuta kutoka zenji.

Ukiwa na mzigo kutoka zenji unaweza kuuvusha bila kusumbuana na bandari, mambo ni mengi Sana happy bagamoyo na fursa nyingi Bado ziko wazi tofauti na dar...
 
Mm simwenyeji Sana, ni mgeni pia... Kama unakumbuka enzi za jakaya mwishoni na ule mradi wa bandari bagamoyo, Mshua alikua ni miongoni mwa walioenda kununua viwanja, mradi ulipobuma akaamua kujenga. Sasa kwa maana hiyo nilibahatika kukaa Kama mwaka 1 hivi, so Nayajua maeneo mengi Sana ila sio yote.
Kajengea wapi mshua?
 
Kwa wazee was kula tunda kimasihara kule ndio kwenyewe, utazila mbususu Hadi utakimbia... Guest zinaanzia 5000/ na ukiona ubahili utachakata hata vichakani huko, mbususu zipo Hadi za 2k ni wewe tu

ILA

zingatia kuvaa soksi, kule wengi wameungua
 
Back
Top Bottom