Naombeni uzoefu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Naomba kufahamu kuhusu Bagamoyo kwa ujumla wake. Yaani chochote kuhusu Bagamoyo, mfano:
  • Tamaduni za watu
  • Life style ya watu wa huku
  • Uuzaji wa Ardhi ama viwanja ama mashamba
  • Kuhusu Kilimo
  • Elimu
  • Mwamko wa ki elimu ama ki Maendeleo Kwa raia waishio huku
  • Kabila waishio huku
  • Vyakula
  • Gharama za maisha
  • Ugumu na unafuu wa maisha
  • Imani za ki shirikina
  • Biashara kuu za huku
  • Uchumi wa huku
  • Starehe za huku (clubs, ngoma etc)
Yaani chochote kuhusu maisha ya watu wa Bagamoyo

Asante
 
Kupo poa wakarimu ingawa wameathiriwa Sana na tamaduni za kiarabu/kiislam. Pia hawapendi mtu mzinzi na Kama hujaoa kupata chumba sahau had uje na mwenyeji akudhamini
Bagamoyo hii au bagamoyo ipi..mana bagamoyo ya pwani..hata kwa kijola unaona mbususu nje nje, wanapenda vigodoro sana watu wapwani bila kusahau tamaduni maarufu walioachiwa na waarabu ya kupakua tope.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bagamoyo hii au bagamoyo ipi..mana bagamoyo ya pwani hata kwa kijola unaona, mbususu nje nje. Wanapenda vigodoro sana watu wapwani bila kusahau tamaduni maarufu walioachiwa na waarabu ya kupakua tope.

#MaendeleoHayanaChama
🤣🤣🤣kupakua tope
 
Kupo poa wakarimu ingawa wameathiriwa Sana na tamaduni za kiarabu/kiislam. Pia hawapendi mtu mzinzi na Kama hujaoa kupata chumba sahau had uje na mwenyeji akudhamini
Eee buana eeeehhh mbona kazi
 
Bagamoyo hii au bagamoyo ipi..mana bagamoyo ya pwani..hata kwa kijola unaona mbususu nje nje, wanapenda vigodoro sana watu wapwani bila kusahau tamaduni maarufu walioachiwa na waarabu ya kupakua tope.

#MaendeleoHayanaChama
Duuuuuuu
 
Back
Top Bottom