Godfrey Mwaja
Member
- Oct 15, 2010
- 24
- 0
Habari ndugu zangu, mimi nina Girlfriend wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
ki ukweli nimetokea kumpenda sana binti huyu hasa kutokana na uhusiano wetu na jinsi nilivomkuta akiwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote, tofauti yetu ni dini yeye ni msabato nami mlutheri. mwanzoni mwa mapenzi yetu tulikubaliana wakati kufunga ndoa atabadili dhehebu na kufuata langu, baadae tena akasema hapana bora kila mtu abaki na dhehebu lake, mimi nikasema sawa, pili akakataa tusifanye mapenzi tena mpaka ndoa pia nikamkubalia.
Lakini kwa sasa hivi ananiambia kuwa imani yao hairuhusu kuishi na mtu wa dhehebu lingine pia hayuko tayari yeye kubadili dhehebu pia anasema kwao hawatamkubalia kubadili, kwa hiyo anataka mimi ndo nibadili dhehebu na kama itashindikana yupo tayari tuachane, wakati huohuo anadai kuwa ananipenda sana ndio maana ananiomba nibadili dhehebu, na mimi binafsi siwezi kubadili kuwa msabato, naombeeni ushauri.