Naombeni ushauri

Huo ujeuri ameanza tangu tumeanza mahusiano
Ulitakiwa uchukue maamuzi ya kuachana nae muda huo,sio kusubiri mpaka amepata mimba,
Tatizo lako uliamini kua labda angekuja kubadilika huko mbeleni,hapo ndipo ulipokosea,

Lea hiyo mimba wala usimtelekeze huyo Mwanamke,kama kupima DNA utafanya huko mbeleni ila kwa sasa ni jukumu lako kulea hiyo mimba mpaka mtoto atakapo zaliwa.
 
Hili ni la kuomba ushauri? Vijana siku hizi mnakwama wapi?? Uliona kabisa mwanamke hakupendi na ukaendelea kua nae!
 
Mleta mada fuata huu ushauri,

Kumbe Mawardat umebadili user name.

Seran ephen_ Joanah

Wakati nasoma suala la mtu kutoa mimba nilikuwa nalishangaa sana hadi nilipokuja kuingia ulimwengu ambao kila siku naona watu wakifanya hivyo

Kimsingi sisapoti utoaji wa mimba lakini anayetoa pia simshangai wala siwezi kumkataza akitaka kutoa .

Sasa ole wake mtu aje kuniuliza kama nimewahi kutoa mimba....ama niwajibu tu, sijawahi kutoa mimba lakini kumtoa mtu?... 🤐
 
Kimsingi sisapoti utoaji wa mimba lakini anayetoa pia simshangai wala siwezi kumkataza akitaka kutoa .🄲
 
Kwa ushauri wa haraka usijaribu, ila kaa muongee na muwekani wazi ili mjue hatima ya maisha yenu
 
Unataka utendewe muujiza gani ndiyo uamini kwamba huyo binti hakupendi

Lazimisha kumuoa, akuzalie watoto 4 na wote unakuta wa Bwana wa Kiislamu

Achana naye, tafuta mwanamke mtakayependana lakini sio huyo
 
Una uhakika gani kama wewe ndio mwenye mimba? Akili kichwani
 
Kwahiyo nawe unataka atoe mimba!?

Daah,nimesikitika,,

Cha kukushauri,Lea mimba,subiri mtoto azaliwe kama ni wako sawa kama si wako pita hivi.namchukia mtu anaetoa mimba.
Alikuwa lengo lakini kutokana na hizi drama nimeona bora iwe hivo sababu tangu mwanzo alikuwa anataka kutoa mimba yangu
 
Daah kaka acha tu nimepitia mateso makubwa sana kwa huyo binti sasa swala la ujauzito vp mkuu
Hayo mateso uliyataka mwenyewe
Condoms zilikuwa zinakubana?
Unatomba mwanamke waruwaru bila condoms unategemea nini kijana
Pambana na Hali yako
Next time utakuwa na akili hutafanya mambo kwa husia kama wanawake
 
Anataka matunzo ya mimba na mbaya zaidi ananiomba kama vile ni lazima au nilimwambia abebe huo ujauzito na vilevile alikuwa anataka kuutoa zamani tuu
Kumbe hata hiyo mimba mlikuwa hamjapanga daaah nyie watoto hivi mnatumia akili mkitombana kweli??
Huyo mwehu atakunyoosha kweli kweli mpaka uite maji mmaa
 
Mapenzi upofu kwanza pole umekubuka shuka pamekucha kabla hujaigia kwenye mahusiano fatilia historia ya mwanamke
 
Nimejizuia kucomment kwenye huu uzi tokea asubuhi nilipousoma.
Mkasa wake umenikumbusha mimi kabisa.

Kuna watu kwenye uchumba hawafanyi kitu ila kwenye ndoa wanafanya kila kitu.

Ni kama slogan ya wanaume usimhudumie mwanamke asiye mke wako.
Maana yake nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…