Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,906
- 32,728
Mwanamke wake wa kwanza, ndio mke wake! Alizingua kuanza mahusiano mengine ambayo hakuwa committed anamuonea huruma mwenye mtoto, anamuonea huruma aliyeishi naye miaka mi3 deep down anawataka wote! Yani kachanganyikiwa!Hajaoa bado hapo lakini ila huyo aliezaa nae ndie mke wake halali ila tamaa za huyo mwanamke mwingine ambae kiuhalisia amepangwa awe mchepuko wake yeye analazimisha amfanye awe mke wake, mwelekezeni vizuri huyu kijana kabla hajapotea kusikojulikana maana mtaka 2 na 7 hupatwa na mingi misiba, wewe unatakaje 2 halafu hapo hapo unataka 7?
Asifanye maamuzi kwa sasa atulie tu..