Naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri

Discussion in 'JF Doctor' started by the righteous, Sep 4, 2008.

 1. t

  the righteous New Member

  #1
  Sep 4, 2008
  Joined: Sep 4, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nina matatizo tena makubwa sana lakini nadhani kupitia jamii nitafanikiwa. Mimi bwana nina UUME mdogo,lakini ninadisa vizuri tatizo nikipizi maramija ninashindwa kurudia hadi baada ya dakika 20 au zaidi na mbaya zaidi ninacukua muda mfupi kupizi, yaani dakika 3 au mbili tu ninapizi. Hali hii imeniweka katika wakati mgumu kiasi mpenzi wangu analalamika kila siku. Jamani nishaurini nifanyeje? Nasikia kuna vifaa vya kuongeza uume lakini sina uhakika,na kuna dawa za kusaidia kusimamisha uume nk. Naombeni yeyote mwenye taarifa za kutosha juu ya matatizo haya anisaidie
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Sep 4, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Bwana mdogo swali lako ulitakiwa ulipeleke katika masuala ya afya pale kuna madaktaalamu wa mambo hayo najua utasaidiwa vizuri bila taabu yoyote maduka hayo unayosemea yapo soma magazeti ya udaku kama risasi , uwazi au sani kuna watu wanatangaza offer zao
   
 3. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu,nafikiri cha kwanza nenda kamuone daktari usikie atakusaidia vipi kitaalam kabla ya kuchukua hatua zingine,usijekuta unakuza tatizo badala ya kulipunguza
   
 4. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,074
  Likes Received: 15,729
  Trophy Points: 280
  Pole sana, mie nakushauri kwamba huo ufupi usikutishe, cha muhimu hebu kabla ya tendo lenyewe uwe unafanya kila namna mpenzi awe anakaribia kumaliza kusudi na wewe uki penetrate mmalize pamoja ili asiwe anakosa raha kila mara
   
 5. M

  Magehema JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2008
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana JF naombeni msaada. Mimi nilikutana na tatizo la aliyekuwa mpenzi wangu kupata ujauzito ambao sina uhakika kwamba ni wangu au la, unajua tena watoto wa kike hawaaminiki. Ukweli ni kwamba alikuwa ni mpenzi wangu. Nilipata taarifa za ujauzito wake miezi mitano baadae. Mimi nilikuwa nje ya mji tangu mei hadi disemba 2007. Tulikuwa tukiwasiliana na hakuwahi kunigusia hilo suala.
  Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kuna mshkaji alikuwa anagonga pale kwa hyo demu alihangaika nae jamaa akawa amechomoa. Mimi kurudi mkoa, akanitwika mzigo, na wazazi wake kawaeleza. Ikawa soo, ukaitishwa mkutano wa wazee wangu na wazee wake ili kulitafutia ufumbuzi. Mimi nikawa muwazi kwamba ni kweli nilikuwa na uhusiano na binti yao ila kuhusu ujauzito nina wasiwasi kwa sababu yeye hakuwa mke wangu kwa maana kwamba inawezekana wakati sipo vicheche walikuwa wanakula tu. Hatukufikia muafaka mpaka mimi nilipoondoka kurudi kwenye mihangaiko yangu. Hivi ninavyotuma huu ujumbe tayari mtoto kazaliwa. Je nifanyaje, nahitaji kumsaidia mtoto ila sipendi kuonekana mume bwege. Je nitapaje uhakika kwamba ile ni damu yangu?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhh pole kaka ! ni rahisi sana kujua kama mtoto ni wako ama la hasha, fanya DNA Paternity Testing, sijui kama bongo wanafanya. Ila ni rahis kujua kama mtoto ni wako kwa kumatch DNA zako na mtoto, vinginevyo mzee kubali yaishe kitanda hakizai haramu.

   
 7. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  bwana mdogo????

  Vipi huyu jamaa mnafahamiana naye?..au ni dharau nyingine?..bwana mkubwa hawezi kuwa na uume mdogo?..
   
 8. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Yes aende muhimbili hospital.
   
 9. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Dogo achana na huo ujinga wa kutumia dawa eti kuongeza size ya uume wako. Jambo kubwa la msingi unatakiwa kuwa mtundu wa kujua jinsi ya kutumia hako hako kauume kako unakodai kuwa kadogo kumchachafya huyo mpenzi wako na ninakuhakikishia kuwa anapata raha zote anazotarajia.

  1. Jitahidi sana kuwa na muda mrefu wa kumtayarisha huyo demu wako kwa romance na kila aina ya misisimko unayoweza kumpa na hasa kwa kuzingatia maeneo ambayo yeye hupatwa na ashki once ukiyapitia e.g shingoni, masikioni, mapajani na hata kwenye critoris chezea hizo sehemu wala usiwe na haraka ya kumuingilia.

  2. Utakaporidhika yuko tayari chagua style ambayo ukitumia utapata nafasi ya kumgusa vizuri na kumpa raha kama vile yeye akukalie juu, dog style (chuma mboga) pia jaribu kuhamisha akili yako katika kutaka wewe ku-ejaculate au punguza kasi ya ku-pump once unapohisi unakaribia ku-ejaculate nakuhakikishia ukimudu hili zoezi ndani ya dakika 10 baada ya kumuingilia huyo mpenzi wako atakuwa amepata habari aliyokuwa anatarajia.

  3. Sina uhakika sana kama unapofanya mapenzi na huyo demu wako unavaa condom au la...Issue ni kwamba kama hutumii kondom jaribu kuvaa inaweza pia kukusaidia kupunguza kasi ya msuguano ambao unakupelekea ku-ejaculate mapema then magoli yatakayofata unaweza kugonga nyama kwa nyama angalau kwa dakika kadhaa.

  Mapenzi ni ufundi kaka na si kuwa na maumbile makubwa.....
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Sep 4, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  bwana mdogo hakuna dawa ya kurefusha uume..na wamasai siku hizi wamegundua mjini watu wengi...ndogo ,basi tabu wanawaibia kweli eti ..."rafiki dawa ya kurefusha ...." uwongo tu!!!

  kama alivyoongea muongeaji wa kwanza ,,..FOREPLAY MASTERING Itakusaidia ..kuwa mchunguzi hata google kuna mbinu ...nyngi..ukishindwa tembelea blog ya kichaa dada CHEMI CHE MPONDA na nyingine kama hizo ...Kuna some inputs pale.....ni vema kujua mwenzako anataka nini.....SIZE ALWAYS DOESNT MATTER....unless unakutana na shangingi.......kumbuka huwezi kumkomoa mwanamke kwa kutumia nguvu....tumia akili...,utakutana na literature pia zinagusia juu ya DELAYING TACTICS...

  usidanganyike kutumia dawa yoyote ya kuongeza nguvu..it will weaken you while still young....na itafikia umri hata ukitumia ...hupati matokeo.....VIAGRA are for old guards with young chicks like JONGWEE '" MUGABE"...and upoon doctors advise......sio kwa kukomolea ...hutaweza kuukomoa mpira!!
   
 11. Jijune mfwene

  Jijune mfwene Senior Member

  #11
  Aug 22, 2015
  Joined: May 6, 2015
  Messages: 170
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Je dawa ulipata mkuu?
  Ni muda mrefu leo tumekuja vjana tupo full jukwaan tumevamia rejea 2jadili hili swala nadhani hu ndo muda muafaka
   
Loading...