Naombeni ushauri wenu wanaJF

Aug 9, 2018
95
293
Nina mdogo wangu anataka kuomba Bachelor degree mwaka huu wa masomo 2019/2020. Malengo yake baada ya kuhitimu shahada yake sio kuajiriwa ni ajiajiri je? Kati ya Bachelor in Information Technology na Bachelor in Marketing ipi inauwanja mpana katika kujiajiri hapa Bongo?.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom