Mshale the One
New Member
- Apr 10, 2024
- 2
- 2
Habarini ndugu zangu,
Naombeni ushauri Mimi ni mwalimu by professional level ya diploma.
Nipo interested sana na masuala ya IT hivyo natamani hata future yangu nije nijiendeleze kwenye IT.
Kwa kuanza nimeandaa mpangokazi wa miezi 24 ili unisaidie nijifunze mwenyewe online ili baadae nikiwa vizuri nije niende chuo kusoma degree ya IT.
Naombeni ushauri wenu viongozi katika namna positive kabisa ili nipate pa kuanzia.
Ratiba nimeandaa kwa msaada wa AI