Rahul Pacquao
Senior Member
- Feb 9, 2013
- 148
- 180
Habari za saiz, poleni na majukumu.
Bila kupoteza wakati uzi wangu unahusiana na swala zima la madai ya mtoto mimi ni baba wa mtoto mmoja nilifunga ndoa yangu mwezi 5 mwaka huu lakini chaajabu mwanamke huyu anadai talaka tena amelivalia hasa njuga Swala hili bila kutaka kikako chochote wala suluhu Katika jambo hilo baba yake mzazi mtu amba nimwenye ku support swala hili kwakiasi kikubwa lakini kwa Kipindi chote hicho kwanzi mke wangu ajifungue mama yangu ndio alie beba jukumu lakumwangalia mtoto wangu pamoja na mke wangu kwakua familia yake ilijitenga kabisa na sisi kwahivyo hata salamu na kujakumtembelea mzazi hawaku taka kujua hayo.
Baada ya miezi mi 3 mke wangu alianza kwenda kazini na Mimi pia hua nakwenda kazini tuka kaachini nakujadili Swala la mfanya kazi bahati nzuri tuka pata mfanya kazi akawa anaishi na mama yangu pamoja na kumlea mtoto.
Mke wangu hua anaingia kazini saa 1asubuhi ananiachia mtoto Mimi nakaa na mtoto mpaka anapo amka Alafu namchukua nampeleka kwa mama yangu ndio anae kaa nae mpaka tunaporudi
Mke wangu anaondoka saa 1 asubuhi anarudi saa 1 usiku , Mimi naondoka saa 3asubuhi nakurudi saa 11 jioni nakuja kukaa na mtoto mpaka anapo rudi mke wangu pia yeye hua ana safiri mara kwa mara nakuniachia Mimi jukumu la kukaa na mtoto sasa talaka yake nimempatia lakini mtoto wangu anam ng'ang'ania ili kunikomoa yeye hatakumpa uji hawezi jumapili akitoka out na mtoto badala yakubeba uji anabeba biskuti na soda nahofia Sana mazingira ya mtoto endapo huyu mwanamke ataondoka nae.
Kinachonipa mawazo ni Swala la mtoto kukabidhiwa kwa baba baada ya miaka 7 huyu mtoto ataishi mazingira magumu kwakua hata marazingine mke wangu akiwa nyumbani mtoto akilia njaa usiku hua anampiga nakumwambia la-la achakunisumbua pale ninapo amka nakua mkali naonekana m baya nahofia Sana maisha ya mwanangu atakapo Kua anaishi na huyu mwanamke peke yake nampenda mke wangu Japo yeye hanitaki tena lakini hataaki ondoka mtoto wangu bado namuhitaji niakikishe Yuko salama na anapata malezi bora nisaidieni mawazo juu ya hili na swalazima lakisheria vipi nitakabidhiwa mwanangu kutokana na Swala hili?!