Hataki bwanaake aendelee kuwa dereva wa boda boda, anataka aajiriwe.Cheti sichake kwanini wewe unatumia nguvu kubwa kukihitaji?
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kaziCheti sichake kwanini wewe unatumia nguvu kubwa kukihitaji?
Sasa yeye sianacho chake mana kasema wamemaliza chuo kwanini asikitumie apate ajira yake mwenyewe?...Hataki bwanaake aendelee kuwa dereva wa boda boda, anataka aajiriwe.
Ana harakia maisha inavoonekana. Kasahau kama maisha ni process sio kama mbio za sprint
Japokuwa huyo mwanaume wake nae sio mkweli. Kwanini asiseme tu ukweli kuwa alidisco chuo? Maisha yanaendelea
Aaah! Jamani kumbe unapenda jamaa awe anaenda ofisini?Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
anazingua huyo mkuu......kudisco sio mwisho wa maisha kama umempenda pambaneni kwani umeambiwa dunia nzima wamefika chuoCheti sichake kwanini wewe unatumia nguvu kubwa kukihitaji?
Sasa hizo ajira siuapply nawewe maana umeshasema kuwa wote mmemaliza chuo au wewe ndio unaona Biashara yako nzuri nabiashara yamwenzako yabodaboda waiona mbaya so wamuonea hurumaHapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Utoto tu wala hakuna jingine.Sasa yeye sianacho chake mana kasema wamemaliza chuo kwanini asikitumie apate ajira yake mwenyewe?...
Pia tatizo la huyo dada nae anaanini sana katika kuajiriwa yani bila hivyo anaona bado hajayaanza maisha...
Mwana kuficha kuhusu disco aliloingia kweli ni mistake lakini atakua na sababu zake za msingi yeye kufanya hivyo na huo ndio uanaume....
Kutokuwa na kazi au kipato hakikidhi mahitaji? Kama kuwa na kazi ndiyo kukidhi mahitaji basi bado haujakomaa kifikra mkuu ila cha kukushauri kaeni chini mpange namna ya kuongeza kipato chenu na mbuni biashara mbali mbali huku ww ukiendelea kutafuta hiyo ajira serikalini.Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi