Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,369
- 205,759
Ndio hapo sasa ata mimi nashangaa mkuu yani mdada anaonesha udhaifu wake sana juu ya uhusiano wake na kama mwana akiona huu uzi atakua kishamvua vyeo vya u-wifi materialanazingua huyo mkuu......kudisco sio mwisho wa maisha kama umempenda pambaneni kwani umeambiwa dunia nzima wamefika chuo