Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Kama ugali mnakula na maisha yanaendelea kuna shida gani?
Komaeni na kutafuta maisha, kuna wasomi wamejazana hawana kazi za kuajiriwa wanakomaa na kujiajiriTatzo langu na kinachoniumiza ananificha mpaka sahivi hataki kuwa mkweli wakati angeniambiaga mapema ningemshaur tutafute Chuo asome coz chet cha fom6 anacho sahv angekuwa mwaka wa 2
Tatizo mama yake ana maisha magumu anamtegemea mwanaye kila siku ananisumbua mwambie mwanangu aombe kazi mama anafunga kila siku anamwombea apate kazi tatzo huyu hawi mkweli asaidiwe na mama yake amemsomesha kwa shida akija kujua huyu mama atadondoka preshaTatizo unafikiria kwenye kuajiriwa tu,kama suala ni cheti,we si unacho kitumie!
Kiongozi wangu coment yako hii imeniamsha kitu furani kichwani mwangu ni kweli kabisa nilikua nachukulia kuoa ni kitu cha kawaida tu na nijambo simple like that. Itanibidi niwe makini kabla sijaharibika kabishaUnamatarajio ya kuishi nae maisha ya kindoa huyo au sio!
Kama jambo la kawaida sana kama hilo hamjaweza kuwekana wazi na umeshindwa kumeambia ukweli ni vipi siku akifanya kubwa zaidi?
Ndoa sio maigizo ,ni jambo la kiapo cha milele. Hilo neno milele hebu kaa tulia vizuri litafakari japo kwa dakika tatu au nne tu upate taswira nzima ya tafsiri yake
Mnapofake tangu mwanzo kwenye mahusiano yenu ndivyo hivyo hivyo myakavyoishi ndoani
Jifunzeni kuwekana wazi jambo ambalo litawasaidieni sana ktk kujenga mahusiano imara na yenye afya baina yenu
Ugali upo tatzo tunakaa hv mpaka lini me naumia jamani basi tu hamjui maumivu ninayoyapata kinachoniuma ananificha sasa cjui atanificha mpaka lini jamaniKama ugali mnakula na maisha yanaendelea kuna shida gani?
Jamani usilie yani umeelezea kwa uchungu sana adi nimekuhurumia aisee! Ila ongeeni tu muyamalize ni swala la muda rafiki...Siyo napenda aende ofisini maisha popote ila bodaboda anafanya hadi saa 7 usiku watu wanauliwa wanaibiwa pikipik alafu kingne ela ya Boda Boda inaishia kwenye matumizi ya kila cku hakuna zinazobaki kwajili ya kufanya maendeleo nilijua ipo cku Mme Wang atapata kazi hz taarifa kwa kwel zmeniumiza sana na mama yake amemsomesha ktk mazngra magumu sana nikimfikiria mama yake anavyomtegemea nataman kulia
Ni jambo jema sana kulichukulia kwa umakini na uzito wa hali ya juu mno suala la kuoa kwani ni kiapo na maagano tena ya ki-Mungu baina ya mke na mume, vinginevyo kila kukicha unasikia na kuona divorce! divorce! na ongezeko la matukio ya chuki, visasi, kutokuheshimiana, umasikini, ulevi wa kupindukia, umalaya, watoto wa mitaani, umwagaji damu na kila aina ya machukizo mbele ya MunguKiongozi wangu coment yako hii imeniamsha kitu furani kichwani mwangu ni kweli kabisa nilikua nachukulia kuoa ni kitu cha kawaida tu na nijambo simple like that. Itanibidi niwe makini kabla sijaharibika kabisha
Tatzo anapata ela ya kula na kulipa kodi zimeisha umri umeenda mambo mengine tunafanya lini ya maendeleo sina hata nguvu ya kuendelea kuandika naumia sanaWe unataka cheti au unataka mume!!?, mwache azisake pesa, wanawake kwa nini mnapenda kuajiriwa badala ya kujiajiri?
Umezaa nae??Siyo napenda aende ofisini maisha popote ila bodaboda anafanya hadi saa 7 usiku watu wanauliwa wanaibiwa pikipik alafu kingne ela ya Boda Boda inaishia kwenye matumizi ya kila cku hakuna zinazobaki kwajili ya kufanya maendeleo nilijua ipo cku Mme Wang atapata kazi hz taarifa kwa kwel zmeniumiza sana na mama yake amemsomesha ktk mazngra magumu sana nikimfikiria mama yake anavyomtegemea nataman kulia
Wewe umefanya nini ili kuakikisha mnatoka apo kwenye kupata hela ya kula na pango hadi huko unakokutaka?, au unazani cheti kinajenga nyumba?Tatzo anapata ela ya kula na kulipa kodi zimeisha umri umeenda mambo mengine tunafanya lini ya maendeleo sina hata nguvu ya kuendelea kuandika naumia sana
Wewe umeajiriwa? kama haujaajiriwa nakushauri amwache mpenzi wako afanye kazi ya boda boda lakini muhimize kuwa na malengo ndani ya miaka kadhaa maisha yenu huenda yakawa bora zaidi kuliko hayo ambayo wewe unayaona kama ataajiriwaaa...wanawake acheni taaamaaaa za maisha ya haraka haraka, ingawa mwanaume pia alipaswa kukuambia ukweliHapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
sasa ukweli si umeshaujua tafuta njia ya kumchana yatapita tu na atasahauSiyo simtaki tatzo hawi mkweli bado anakataa ni bora akubali asaidike
kazi si kuajiriwa pekee, hiyo hiyo boda boda inaweza kumtoaHapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Achana na hayo mambo umri unaenda atazeekea darasani then mtakuwa masikini ushawahi kuona maprofessor matajiriTatzo langu na kinachoniumiza ananificha mpaka sahivi hataki kuwa mkweli wakati angeniambiaga mapema ningemshaur tutafute Chuo asome coz chet cha fom6 anacho sahv angekuwa mwaka wa 2