Naombeni ushauri wenu juu ya hili nahisi kuchanganyikiwa

Ndo maana mie na mwanamke asie bright ni maadui hata awe na PHD kabati zima.
Mtu anaandika cjalala halafu msomi.

Usomi na mapenzi vitu viwili yaani usilale kisa mwenzio kadisco?
Badala uangalie kama ela analeta unaanza leta poyoyo.

Hawa ndo wanawake wanaompendea mtu kisa status,elimu pesa.yaani anamalengo nae na sio upendo nae.
Nikweli mkuu..

Alafu hapo umeniongezea kitu nahisi ata yeye anawezakua hakijui ''ana malengonae ila sio mapenzi nae"
 
Kama bado hamna family jikatae mapemaa,
Usije kuja hapa tena useme hatujakuambia,
 
Lidada liongo hili.
Kumbe limeolewa na linajua mume wake ni bodaboda halafu linalalamika kutorishishwa kwa kitanda. Pumbafu.
 
Kama bado hamna family jikatae mapemaa,
Usije kuja hapa tena useme hatujakuambia,
Anajiita tembo card.
Wadada plus size webgi huwa hawana confidence ya ku move one wanahisi wanaweza wasipate mtu mwingine atakayempenda saaaana kama huyo aliyenaye. Ila kama ashaolewa basis tena...au inategemea na aina ya ndoa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom