Naombeni ushauri wenu juu ya hili nahisi kuchanganyikiwa

Uongo wa kiasi hicho tena wa kuwadanganya hata wazazi ni dalili ya hatari ikiwa utaingia nae kwenye ndoa...kuna ukweli mkubwa na mdogo huyo ni muongo papa
 
Siyo simtaki tatzo hawi mkweli bado anakataa ni bora akubali asaidike
Yaani we binti unaona jamaa yako hawezi kusaidika wanaume tunaakili sanaa tena kama ni utafutaji tuko vizuri yaani nakuambia omba ajira yako ukipata jamaa yako afanye kazi ya boda boda baada ya miaka mitano muangaliane muone nani zaidi
 
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wakee pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Sitaki kugusia hayo mengine ila dada kuendesha bodaboda nayo ni kazi na njia halali ya kipato
 
Tatzo anapata ela ya kula na kulipa kodi zimeisha umri umeenda mambo mengine tunafanya lini ya maendeleo sina hata nguvu ya kuendelea kuandika naumia sana
Nakuambia wewe binti kuna wenzenu wameajiriwa na hela yao inaishia kulipa kodi, kula na nauli tena umri umeenda nyinyi bado vijana mbona unaongea mambo ya ajabu mmemaliza chuo 2016 maana yake mmeanza maisha 2017 mwaka mmoja ulitarajia kufanya mambo gani haraka hivi? Dah! aisee kuwena na subira basi nyie mabinti ndio maana mnateseka sana na wenye maisha mazuri hasa wenye pesa
 
Na tatizo la wadada wa siku hizi tumeshakariri mwanaume aonekane mwanaume haswa hadi awe na elimu ya juu au kazi za ofisini..ndio yale mambo ya "shem anafanya kazi wapi shem wenu anafanya kazi ofisini" tunaona aibu kusema shemu wako bodaboda..Dada kama kweli wampenda huyo mwanaume kubaliana na hali yake as long as ana akili ya kujua maisha yanataka nini na mpenzi anataka nini...vyeti vya degree ni mbwembwe tu..kwanza nikuambie hao bodaboda ndio wanaume wenye mkwanja kuliko hao wa ofisini..cha msingi ni nyinyi kujadili na kujua yajayo yatakuaje
 
Naona watu wengi mnamnanga dada wa watu kwamba anaangalia elimu ya jamaa, sijui mara oohhh elimu siyo kitu. anyway, the fact ni kwamba huyo jamaa kwanini kuna vitu anaficha? Hilo ni tatizo tena ni kubwa mno japo naona wengi mnalichukulia simple tu.

Mpo kwenye kwenye mahusiano, mnaishi wote, Je ni kwanini jamaa ashindwe kuwa muwazi?
 
Maamake scola umeamua ouja kunisemepea huku Jf, SASA kwa taarifa yako hata hii pikipiki sio yang, Ni ya mshikaji Wang, Ila sio powa scola mke Wang,
Alafu uwe mwangalifu wengine watakushauri upupu mwisho wa ck tuachane,
Kudidco sio tatizo,
Kuhusu kukudanganya nakikir nilifanya hivo ila si kwa nia mbaya, Bali nilifanya kwa ajili ya kulinda penzi letu,
 
Naona watu wengi mnamnanga dada wa watu kwamba anaangalia elimu ya jamaa, sijui mara oohhh elimu siyo kitu. anyway, the fact ni kwamba huyo jamaa kwanini kuna vitu anaficha? Hilo ni tatizo tena ni kubwa mno japo naona wengi mnalichukulia simple tu.

Mpo kwenye kwenye mahusiano, mnaishi wote, Je ni kwanini jamaa ashindwe kuwa muwazi?
Nashkuru kaka kwa kulipa uzito hili jambo
 
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Kwani bodaboda siyo kazi
 
Mbona mm na degree ya ualim toka 2015 nakomaa tu na bodaboda na wife karizika acha tamaa uzembe maisha hayako ivo rizika na unachopata
 
Maamake scola umeamua ouja kunisemepea huku Jf, SASA kwa taarifa yako hata hii pikipiki sio yang, Ni ya mshikaji Wang, Ila sio powa scola mke Wang,
Alafu uwe mwangalifu wengine watakushauri upupu mwisho wa ck tuachane,
Kudidco sio tatizo,
Kuhusu kukudanganya nakikir nilifanya hivo ila si kwa nia mbaya, Bali nilifanya kwa ajili ya kulinda penzi letu,

Wew ni mwanaume kwel kwel mwanaume Mara nying tunadanganya kwa wema
 
Hilo wazo lako la kuwaambia ndugu zake kwamba alidisco chuo naomba uachane nalo .....
Kikubwa mfanye bwana wako awe rafiki yako , hii ndo njia pekee ya nyie kuweza kuambiana maswahibu yenu mnayopitia mda mwingine mahusiano na siri za ajabu ajabu hayaendi

Kumbuka kushindwa shule sio kushindwa maisha !!! Hongera saana kupata bwana mwenye uthubutu wa maisha.
Mpe moyo kwa hicho anachokifanya msupport panapohitajika ,mshauri fursa mbalimbali ...... Nina uhakika hata yeye hapendi kuwa boda boda ila ni sehemu tu ya maisha !!! Sooon anaweza kuanzisha biashara ya kueleweka.
Usikate tamaaa soon mambo yatakuwa pouwa.... Sasa uache kumsimanga mwenzio ,Mfariji
 
Cheti sichake kwanini wewe unatumia nguvu kubwa kukihitaji?
Ndo maana mie na mwanamke asie bright ni maadui hata awe na PHD kabati zima.
Mtu anaandika cjalala halafu msomi.

Usomi na mapenzi vitu viwili yaani usilale kisa mwenzio kadisco?
Badala uangalie kama ela analeta unaanza leta poyoyo.

Hawa ndo wanawake wanaompendea mtu kisa status,elimu pesa.yaani anamalengo nae na sio upendo nae.
 
Back
Top Bottom