Naombeni ushauri wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri wadau

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mchambuzixx, Feb 16, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mimi nilimaliza chuo mlimani telecommunications engineering 2008 wakati namaliza yupo binti ambae nilkuwa ndo naanza uhusiano nae siku ya kwanza tunafanya majambozi aliniambia yuko kwenye gud days na mm kama kawa nikaingia mweupee kipindi hicho nilikuwa bado kazi ndo tulikuwa katika pilika pilaka za kutafuta kazi.

  wiki tatu baada ya kusex akaniambia ana mimba kitu ambacho kwanza sikukitarajia kwa jinsi alivyoniambia yupo kwenye gud days halafu kipindi hicho nilikuwa nimesafiri ila ndo nilikuwa nimerudi akaniambia hayo mambo kwakweli sikukubaliana kabisa na hicho kitu kutokana na situation yenyewe baada ya kubishana nae sana akawaambia ndugu zake mtiti ukawa mkubwa sana tuligombana sana na ndugu zake na kwa vile hawakumjua hata ndugu yangu mmoja msala wote ulikuwa unaishia kwangu na marafiki zangu waliokuwa wanawafaham ingawa mm mwenyewe hawanijui kwa sura till today zaidi ya kuongea kwenye simu.

  ila baada ya mtoto kuzaliwa na kila kitu kuonekana kwamba mtoto ni wangu nilianza kutafutwa tena na mama wa mtoto tukakutana na nilikuwa nahudumia kila kitu bila ndugu zake kujua mtoto sasa ana miaka 2 na nusu na kila mwezi namtumia hela ya matumizi na nilishampeleka kwetu na wazazi wangu wakamuona mtoto na ofisini nishamuandikisha na kwa kweli nimefanana nae kinoma huyo baby girl

  ila kumbe wakati wa mimba kwa vile wazazi wake walikuwa hawanijui yupo aliekuwa anahudumia inawezekana alishaenda kuomba msamaha wakizani ni mm nahisi nae alibambikiwa kipindi kile, mimi nilvyogundua hilo nikamuomba mama mtoto amlete siku moja nishinde nae..nikamchukua mtoto moja kwa moja muhimbili kuchek DNA na nikawa sahihi ila mamke aliniuliza nina mpango gani na yy nilivyomjibu kua nipo na mtu ninampenda na anajua kuwa nina mtoto akanijib wewe una uhakika gani kama huyu mtoto ni wako na naomba leo iwe mwanzo na mwisho kumuona huyu mtoto kwanza sio wako


  ushauri:
  sasa hapo ushauri wenu ni muhimu namtaka mtoto wazazi wake hawanijui hata kwa sura,mama watoto anajua mtoto ni wangu ila kwa vile nimemwambia nna mtu na yy shida yake kuolewa ingawa ana mtu na anajulikana kama baba wa mtoto kwao ingawa anasema ilikuwa hasira kutembea nae kwa kuwa tuligomba .. na mm nna mtu nampenda kupita maelezo ushauri wadau nifanyeje hapo au kama ndo ingekuwa ww
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  na hapo ndo mmemaliza chuo kikuu
  sipati picha mngekuwa darasa la saba hii sinema ingekuwaje....
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kwa vile huna future na dada wa watu tulia kwanza ,huyo jamaa analliefungiwa mbuzi kwenye gunia amalizane nao
  maana hapo umemuacha kwanza then umsababishie aachwe tena jamani?
  Tulia pembeni kwanza mtoto ni wako hawatamuua
  wakimalizana na wewe unaanzisha
   
 4. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  smile uko sahihi ila ni kwa mda gani sasa
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...pagumu hapa.....sasa mwana mie naona hapa mwana wewe kajitambulishe sasa kwa wazazi wake kuwa wewe ndio baba mtoto na muwa umekuwa ukihudumia. sasa that way utakuwa na uwezo wakumuona wen u want
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  kama hamtaki mama basi na mtoto aachie ngazi....................siyo vyema mtoto kulelewa na mama wa kambo...................kama inakwepeka
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nashangaa mtoto yupo safe na mama yake
  anagombania nini hapo/ amwache dada wa watu aolewe bwana maana hamtaki hata apige kimya kwanza
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Mkuu acha kuwa selfish. Vizuri vyote upate wewe? Mtoto kulelewa na mama wa kambo ni risk sana, afadhali baba wa kambo.
  Mwache mama aolewe, usimfanye aonekane mwongo.

  The time will tell.
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kua mwanamme mwenye maamuzi sahihi,kama unasema unampenzi mwengine unampenda kuliko maelezo je ulimwambia kama unamtoto? pata mda uonge na mzazi mwenzio ili kwao wajue kama mtoto ni wako na uko tayari kumuudumia kwa hali na mali,
  na wakupe mda wakwenda kumuona mtoto wako...
   
 10. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Muonyeshe results za DNA,afu aendelee kubisha.Akome kujilengesha kisa ndoa
   
 11. salito

  salito JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  hapo kwakuwa mlishaharibiana tulieni tu,zungumzeni mkubaliane.
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  tamaa ya mzee fisi itamponza.....................mwishowe njemba imwangushie kipigo cha kuingilia unyumba wake............lol
   
 13. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mpenzi mwingine mbona anajua kama nna mtoto na yuko tayari kulea wadau
   
 14. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  kwahio wadau ushauri wenu nitulie tuu iwe siri kati yangu na mamake hamuoni kwamba mtoto anakosa haki ya kumjua babaake coz atakaemfahamu kama babaake ni yule atakaeishi na mamake na jee hio itaendelea kwa mda gani hamuoni kadri mda utakavyokuwa unakwenda ndo tatizo litakuwa linazidi kukua?
   
 15. S

  Sharp Observer Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu pole sana. Mimi naomba msaada wa utaratibu wa kupima DNA pale muhimbili. Ni utaratibu gani unautumia ama kimjini mjini na gharama ni kiasi gani?

   
 16. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  What is this?
   
 17. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hivi kweli unaweza kwenda tu Muhimbili na kupima DNA? Sidhani, labda kama umefanya kijanjajanja.
   
 18. h

  hayaka JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  usimwaribie mwenzio maisha. We si ulishamkataa tangu mwanzo. Kama mtt ni wako atakutafuta tu.
   
Loading...