Naombeni ushauri wa kunijenga

Teckla Anne

Member
Nov 19, 2012
7
3
Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue jina lako halisi. sasa hiyo ndo maana halisi ya forum? kuweni wastaarabu.
 
Sasa bidada kama mmefikia hatua ya kupeana namba, kuna haja ya kufichana tena majina?
 
Mbona wakati mnapeana namba hukuja kutuambia limebumburuka ndo waja tukusaidie????

Pole sana hapa watu hawako serious unavyofikiria bidada soma mazingira sawasawa usikurupuke. Washalizwa wengi sana humu huja na kusema kama wewe
 
Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue jina lako halisi. sasa hiyo ndo maana halisi ya forum? kuweni wastaarabu.

We kweli fake. Yani pamoja na kupeana number bado unataka asikujue jina lako?
 
Wabongo wengi mpo nyuma sana kwenye uelewa wa ICT...
In a first place hukutakiwa kutoa namba yako kama hukutaka jina lako lijulikane....
Pili katika ulimwengu wa ICT, JF ni forum na sio dating site, hapa watu wana flow in and out kila dakika,huwezi jua who's real and vice versa...
 
Hahahaaaaaaaaaaaa!!!!!! JF IS NEVER BORING!!!! Ulisahau kama simu zimesajiliwa? Mi sioni tabu kama mmekubaliana kuwasiliana eventually mngekuja kumeet na kuonana! WHATS THE BIG DEAL? Hata akijua unaitwa Mariam Juma wapo zaidi laki tano!!!!!!!!
 
Halafu wewe mbona umepotea sana hivyo??

Dah long time sana upo mtu wangu?yani mpaka tunakuwa wageni tena humu jukwaani.Maisha yalikua magumu ndugu yangu nikakimbia mjini nikawa nimepata kazi ya kulinda mnara wa voda mikumi na unajua ile kazi inavobana,ila kwasasa nimerudi mjini.
 
Sasa nawewe hata kusema uongo hujui yaani uko chini ya mnara mtandao ni full kupatikana??? Haya kama kweli karibu sana
 
Unataka ushauri wa kukujenga ili nini??? Uwe mrefu kama PPF Tower au!!!
ulibug meeen kutoa namba ya simu...
 
Humu wengine tunakuja kujifunza,kuburudika,kucheka,kujua vitu
sasa dadaangu kama umekuja kutoa namba au kutafuta husbandi material humu,ndio matokeo yake hayo
unakutana na matapeli humu,angalia tu wasikuibie vi M-pesa vyako maana hawashindwi,pole!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom