Sasa haya ni malalamiko au nikuomba ushauri???????
Unataka ushauri wa kukujenga ili nini??? Uwe mrefu kama PPF Tower au!!!
ulibug meeen kutoa namba ya simu...
na wewee!muonee huruma mwenzio bana!mwenzio kashatolewa matenga ujue!lol!Sasa haya ni malalamiko au nikuomba ushauri???????
hahhahahhahahhaahhahhahahhahahahah !af nimekumiss ujue hebu niPM nikupe namba mie ah!chezeya urefu ka PPF TOWER!kwa hili walahi nakupa na jina kabisaaaaa!loh!