Naombeni ushauri wa haraka, nimevurugwa mie

Hiyo mikanganyiko ya kukosa mkopo imenikuta CRDB. Nilikua nna situation kama yako. Ila mi ni kumalizia mjengo nihamie baada ya mwenye nyumba kunipa notice kisa nimefuga mikuku kwa kujenga banda la bati.
 
Mkuu hongera sana kwa kuthubutu kuanzisha mradi...mimi nafikiri usiuze gari kwanza kama umekosa mkopo.
1. Plan A- ongea na mwenye nyumba kinyenyekevu..jishushe kabisa kwake na ujifanye mjinga...atakuelewa tu...ikishindikana muahidi pesa kidogo.
2. Plan B- jifanye mjinga na huelewi..mwezi wa saba ni karibu sana.
Plan C - Ongea na mwanamke uuze gari.
Plan D - Tafuta mwana JF alieko vizuri mpeleke kwako aone miradi yako, kisha akukopeshe
Plan E - Gari usiuze, ila weka bond uchukue mkopo from financial institutions
 
Mkuu Oil Chafu, kwanza hongera sana kwa maamuzi ya ujasiriamali, yamenitia moyo sana maana na mimi nipo katika hatua hizo (income apart from salary) japo naishi kwangu.
Ushauri wangu ni mambo mawili tu kwako, usiuze kabisa wala kuweka bond gari yako, hicho ni kitendea kazi kilichokufikisha hapo ulipo ni kama jembe lako ilihali ukiwa ni mkulima, moja, nenda kaongee na mwenye nyumba yako (kiume na kwa unyenyekevu)akuvumilie kwa kipindiki hicho kifupi kabla hujahamia site kwako.
Pili, vumilia kimya kimya bila kuongea na mwenye nyumba yako mpk July/Aug maana wala siyo mbali.

Ahsante sana.
 
Mkuu nen
Jamani baada ya kuona maisha ya mshahara ni majanga tuu, nikaamua kujiongeza nifanye ujasiriamali. Nikapata wazo, na hili wazo nimelipata baada ya kusoma sana post za hapa JF kuhusu ujasiriamali na biashara. It goes like this;
  1. Nilinunua kiwanja cha kujenga (ni kubwa kiasi), naweza kujenga nyumba mbili za kawaida na bado space kubwa ikabaki. As for now nimepiga msingi, imebaki kunyanyua ukuta.
  2. Nimenunua shamba ekari 3, nimeshalima mahindi na hivi navuna. Matarajio yangu ni kuwa mwezi wa nane nitafute mkwanja nichimbe kisima nifanye irrigation farming na pia nifuge kuku.
  3. Nimenunua incubator machine na nimeanza kutotolesha vifaranga tayari (bado nipo kwa nyumba ya kupanga, sema tu ina nafasi ya kutosha). Sasa, hapa ndo kwenye matatizo. Plan yangu ilikuwa nisake mkwanja flani na ilitakiwa mwezi huu wa sita niwe nimeshahamisha vifaranga site kwa kujenga mabanda na servant quota ya kuishi kijana atakayesimamia hao kuku ili mimi niendelee na ujenzi kwa miezi kadhaa ndo nije nihamishe familia yote. Sasa mkwanja umeyumba kidogo na ratiba imevurugika, ingawa vifaranga tayari wanakua na space inaanza kubana kwa sababu wanazidi kuongezeka kila wiki moja au mbili wanatotoleshwa wengine. Nina kuku wachache ambao wanataga na ndio natotolesha hayo mayai.
Mgogoro:
Mwenye nyumba ameanza kumind sana na kunisema sema mpaka na mimi nimechukia, natamani muujiza utokee nipate fedha ndani ya mwezi mmoja niwe nimehamisha mifugo site, hapa nibakize familia tuu. Nimeenda bank kwa minajili ya kutop up loan, wananizingua wanasema wamesitisha mikopo mpaka July/August ndo niende. Nimekereka usipime. Nikafikiria niuze gari bado muafaka hauji kichwani, nikiangalia jinsi inavyonirahisishia mizunguko yangu na kubalance muda wa kazini na pia majukumu yangu binafsi. Nimemshirikisha mwenzangu naye hajawa tayari kuuza gari.

My point: Wapi naweza kupata mkopo wa at least kuanzia 5m hadi 8m bila kuzungushwa sana na kupoteza muda? At least kwa hiyo hela naweza kuhamisha mradi site bila wasiwasi wowote na kuanza kupata faida kutoka kwa mradi as soon as possible.

Nina uwezo wa kutotolesha vifaranga 500 kwa mwezi kutokana na mashine niliyo nayo yenye capacity ya 700 eggs. Na hao vifaranga nikiwakuza kwa miezi hata minne tuu nikaanza kuwauza ni hela ndefu aisee. Kwa sasa ni kwamba hiyo mashine naiunderutilize. Nimeandaa andiko la mradi lakini wazoefu wananiambia taasisi za fedha sasa hivi zimeyumba ndo maana wanasita kutoa mikopo fasta fasta. Mwisho wa yote nikifeli plan B inabidi nirudie plan A ya kusubiri staff loan ofcn kama walivyoniahidi bank mwezi wa 7/8.

Nishaurini wadau.[/QUOTE

Mkuu nenda Barclays ndio benki inayotoa mkopo kwa sasa ... kajaribu huko
 
weee shindwa mwanamke yupi atakaa na mume hana gari?
unataka aanze kuchepuka?
akope tu jamaa
He! ama kweli - ina maana kila mwanamke lazima aolewe na mwanamke mwenye gari?
 
Sasa mbona mimi sioni tatizo hapo lipo wapi. Yani mwenyenyumba.kukusema tu ndio umekuwa ishu au
? Ukihamishia.kwako na majirani wakikusema itakuwaje? Mtoto wa kiume usiingie kwenye.madeni yasio yalazima kwa sababu ndogo ndoga kama hizo.
Piga kimia fanya yako mambo yakiwa fresh.ndio usepe.
 
Jamani baada ya kuona maisha ya mshahara ni majanga tuu, nikaamua kujiongeza nifanye ujasiriamali. Nikapata wazo, na hili wazo nimelipata baada ya kusoma sana post za hapa JF kuhusu ujasiriamali na biashara. It goes like this;
  1. Nilinunua kiwanja cha kujenga (ni kubwa kiasi), naweza kujenga nyumba mbili za kawaida na bado space kubwa ikabaki. As for now nimepiga msingi, imebaki kunyanyua ukuta.
  2. Nimenunua shamba ekari 3, nimeshalima mahindi na hivi navuna. Matarajio yangu ni kuwa mwezi wa nane nitafute mkwanja nichimbe kisima nifanye irrigation farming na pia nifuge kuku.
  3. Nimenunua incubator machine na nimeanza kutotolesha vifaranga tayari (bado nipo kwa nyumba ya kupanga, sema tu ina nafasi ya kutosha). Sasa, hapa ndo kwenye matatizo. Plan yangu ilikuwa nisake mkwanja flani na ilitakiwa mwezi huu wa sita niwe nimeshahamisha vifaranga site kwa kujenga mabanda na servant quota ya kuishi kijana atakayesimamia hao kuku ili mimi niendelee na ujenzi kwa miezi kadhaa ndo nije nihamishe familia yote. Sasa mkwanja umeyumba kidogo na ratiba imevurugika, ingawa vifaranga tayari wanakua na space inaanza kubana kwa sababu wanazidi kuongezeka kila wiki moja au mbili wanatotoleshwa wengine. Nina kuku wachache ambao wanataga na ndio natotolesha hayo mayai.
Mgogoro:
Mwenye nyumba ameanza kumind sana na kunisema sema mpaka na mimi nimechukia, natamani muujiza utokee nipate fedha ndani ya mwezi mmoja niwe nimehamisha mifugo site, hapa nibakize familia tuu. Nimeenda bank kwa minajili ya kutop up loan, wananizingua wanasema wamesitisha mikopo mpaka July/August ndo niende. Nimekereka usipime. Nikafikiria niuze gari bado muafaka hauji kichwani, nikiangalia jinsi inavyonirahisishia mizunguko yangu na kubalance muda wa kazini na pia majukumu yangu binafsi. Nimemshirikisha mwenzangu naye hajawa tayari kuuza gari.

My point: Wapi naweza kupata mkopo wa at least kuanzia 5m hadi 8m bila kuzungushwa sana na kupoteza muda? At least kwa hiyo hela naweza kuhamisha mradi site bila wasiwasi wowote na kuanza kupata faida kutoka kwa mradi as soon as possible.

Nina uwezo wa kutotolesha vifaranga 500 kwa mwezi kutokana na mashine niliyo nayo yenye capacity ya 700 eggs. Na hao vifaranga nikiwakuza kwa miezi hata minne tuu nikaanza kuwauza ni hela ndefu aisee. Kwa sasa ni kwamba hiyo mashine naiunderutilize. Nimeandaa andiko la mradi lakini wazoefu wananiambia taasisi za fedha sasa hivi zimeyumba ndo maana wanasita kutoa mikopo fasta fasta. Mwisho wa yote nikifeli plan B inabidi nirudie plan A ya kusubiri staff loan ofcn kama walivyoniahidi bank mwezi wa 7/8.

Nishaurini wadau.
Uza hao vifaranga wanaototoleshwa hapo nyumbani kwanza, ili kupata mwanzo mzuri. Wana umri gani hao vifaranga na ni wa kuku aina gani?
 
Ukisoma vizuri maelezo yake ni kwamba wife wake nae anazungusha (ana gari), ila hajaafiki kuliuza. Ndo nikamshauri jamaa aongee na wife ili yeye jamaa aliuze gari lake halafu ategemee lift za wife.
inavyoonyesha wife hayupo tayari kuwa na mwanaume asiye na gari teh teh teh Mjini hapa kila mtu anatumia gari ki mission town
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom