Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

Kwahiyo mmekosa Marafiki,ndugu,wazazi,mshenga ndo mkaja huku?

Kuna baadhi ya mambo mtu anayaleta hapa mpaka unajiuliza uanaume wake kama uko sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwangu wanaJF ni marafiki kama ulivyotaja hapo......kwahiyo hatujawakosa na ndo maana nimekuja huku, hata hivyo niliweka wazi tu katika maelezo yangu labda hukusoma vizuri tu!
 
Uku kwetu mke wa mtu anatoka anaenda zake matembezi miaka 10 anarudi na watoto wawe wachina, wazungu, ni watahesabika ni wa mumewe wa kwanza alomuoa hahahaha
dah, hiyo jamii imeijulia vizuri kabisa tiba ya stress.......inaonekana watu wa huko watakuwa ni wenye furaha sana!!!!
 
Sijui kwa nini nimekumbuka ule wimbo wa mwana F.A .!!
Mwanam f.a unaowa lini?alielala na bi harusi kabla ya harudi sijui nini nanii...
Pole sana mkuu
 
Unaanzaje kufiria tu, sio kumpima Mkeo ujauzito tena wa Ndoa changa kama hiyo?

Hapa inatafutwa 'sikiriputi'

Tusifanyane Viazi.
 
Hosp hawana kipimo cha kutaja mimba na exact age hapa bongo mkewe ni std 7 B amejichanganya. Angekuwa wa degree 4 kwanza hiyo mimba angeambiwa ina siku 3 tu. Achana na watoto wa chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini!

Niende kwenye mada.

Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2.

Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho nami kimenistua hadi kufikia kuomba msaada wa haraka humu ni kuwa ameenda na mke wake leo zahanati kumpima, baada ya kumuona hamuelewi elewi. Alimpima vipimo vyote, malaria na mimba. Kilichomshangaza ni kuwa mke ameonekana ana mimba ya mwezi mmoja na wiki tatu.

Alichonihoji: Je, atende lolote analoweza? (nafikiri mmenielewa hapa) Je, amwache? Akifanya hivyo aibu itakuwa ya nani hapa, mke au yeye? Awaite wazazi kusikia; watasemaje?

Kiufupi unaombwa msaada wa mawazo wa namna bora ya kulikabili jambo kama hili.

Mwenyewe jambo limenizidi maarifa, nilijifanya kumsihi atulie hadi nitakaporudi mizunguko yangu saa 2 usiku nitaongea naye kwa kirefu; ilifanya hivyo ili niweze kupata wasaa wa kuomba msaada humu wa kimawazo. Nimeileta humu hii mada sababu najua yeye hayupo humu.

Karibuni wadau!
Mimba iliovateki ndoa ndio jibu lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani. Hamna namna inabidi tu uingie kwenye zile asilimia za mkemia mkuu za wazee wanaolea watoto wasio wao bila wao kujua.
 
Mbona nyie mnazaa nje na ndoa inaendelea. Acheni ubinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini mwanamke alishindana na mwanaume akashinda??..yaani ukae ndani kwangu na litumbo limevimba mimba ya kidume kingine??..labda niwe nimelogwa

Hata wanawake wengi wanajua kuwa ni rahisi mume kuwa na mtoto wa nje na kuwa anatambulika kuliko the opposite
 
Anasema aliwahi lakini ni miezi kama 5 iliyopita, uchumba umedumu miezi 4, hawajawahi kukutana katika kipindi hicho chote!
Huyo nae ni ZEMBWERA wee uchumba wa miezi.4 tu UNAOA.....?

harusi za nyege hizo naye kabambikwa......!

Watu tuna kaa hata miaka.6 tuna kula mzigo ndio tulipe posa TUOE.

Ona sasa hata mechi haija anza tayari TEAM INAONGOZA KWA GOLI MOJA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu mepesi kwa maswali marahisi mkuu... Kuwa aweke Cha kwake Kama atakayetoka siyo wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ndiyo maana yangu kwa kuwa, kumtangaza mkeo kuwa aligawia mtu kabla ya weye nadhani ni kujitukana mwenyewe. Mkeo mkeo tu, mpende, mfichie siri kwa sababu, ikiwa huyo mtoto ni wako itakuwa aibu mbaya na chuki kwako milele
 
Back
Top Bottom