Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

Simply hakuna kipimo kinachoweza kusema exactly umri wa mimba zaidi ultrasound inakadria tu afu pia dr atauliza mara ya mwisho period lini, Sasa hilo na kusema mimba ina mwezi na week tatu linahitaji evidance beyond dought .Busara inahitajika kufanya maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi,hakunaga DNA ya mimba??? nauliza tu lakini,maana haya majanga ni yetu sote tu...hayabagui ntu na ntuye
 
Back
Top Bottom