Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
no women no cry
I strongly disagree
no women no cry
thanks
Pole sana kijana ila usijaribu kusema umekata tamaa ya maisha kwa ajili yake kwani maisha yako yapo mikononi mwako mwenyewe
nikukejeli ili iweje?
Anyway' kisicho liziki hakiliki na kama ipo ipo tu its just a matter of time!! Sasa huyo kama ni liziki yako basi huenda hayo ni mapito tu na ipo siku mtaweka mambo sawa!! Kwaupande mwingine kama sio liziki yako basi your westing your time!!
Don't bother about her' time will tell!
Kila lakheri!!!
Nakshi..mdedicate wimbo wa lucky dube ule,unaoitwa IS NOT EASY
Kitunguu majiUkiona mpenzi uliyenaye anakufanya ulie kila siku,jiulize huyo uliyenaye ni mpenzi au ni bomu la machozi!
ur welcome and who knows that lovely girl can be ME
hivi ni "liziki" ama "riziki"
Amen......pole sana mkuu,yanatokeaga hayo,mi mwenye majeraha ya namna hiyo ndio yanaponapona hapa,get strong yatapita tu!
never trust a man kutoka planet yeyotePole sana kaka!! Always never trust a woman on the earth!!
Mrembo vipi? Mimi mwenyewe mgeni mazingira hayo msaada tafadhali!
daaaah mkuu ni kweli lakn inauma kweli!
TIME WILL HEAL. Slowly but sure., life goes on.
mwanaume una kata tamaa siyo vizuri be strong you never know tulia kwanza huwezi jua Mungu ana kuepushia nini