Naombeni ushauri - serious

Naombeni ushauri - serious

Mume kichwa cha familia,ila huyu jamaa ni matak.o ya familia.
 
mimi nina mke wangu na mtoto mmoja ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi, huyu dada alikuwa ni mke wa mtu ila kwa bahati mbaya mume wake akatangulia mbele za haki.

Kwa kweli ni muaminifu sana, anajuwa mapenzi na pia yuko committed na maisha.

Mume wake hajamuacha vibaya sana kwani ni msomi na pia ana bishara mbili tatu.

Mimi tunashindwana na yeye katika mambo yafuatayo.

1. Anapenda kuendeleza uhusiano na na wale marafki ya marehemu mume wake

2. Anapenda sana freedom sometimes atoke nao dinner, drinks whatever ila anakuambia mahali kabisa alipo

3. Kuna wakati unaweza ukampigia simu akakwambia tuma text hawezi kuongea bila ya kukuambia alipo na anafanya nini.

Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.
Je wadau mimi niko right or not?
kibonde njoo na huku kuna watu hawataki kubaki njia kuu
 
Mwache mjane awe huru na maisha yake apate na mume wa kumuoa!!! Wewe utamuoa au ni hizo hela zake na mali alizomwachia marehumu mumewe??? Baki njia kuu, acha kuchepuka!!! Sasa ulitaka abaki na wewe ilihali anajua una mke??? Nipe namba ya mkeo na mimi niwe namchepukia
 
Wewe unamatatizo ujue! una mke lakin bado unawivu na michepuko mmmh tulia na mkeo
 
Vumilia tu yawezekana kuna mbia kati yao hivyo usijute kama umeamua kushiriki zinaa
 
Mwambie awe rafki na mkeo, ili akiwa anaenda kwa rafiki wa zaman wa mumewe, awe anakwenda na mkeo, itakuwa rahisi kwako kujuwa kila mahali alipo na anachokifanya
 
Mtoa mada wewe una malengo gani na mjane?
Kama unaruhusiwa kuoa zaidi its ok. Kama mchafuzi acha aendelee maisha yake inaonesha yako ndani yanakushinda kuyaweka sawa unatamani na wengine na wivu juuu

Pole ila tulia mkuu
 
utasikia jitu linakupigia mikelele kabisaa..."oa wewe..achana na uhuni..."
na mipete yao kama watabiri wa nyota...
mimi nawaangaliaga tu ..
marafiki zangu waliooa...yaani bora hata walivyokuwa mabachela...kazi kufanya MAIGIZO ya ndoa kila ukiwatembelea..wananitiaga kichefuchefu tu
 
Mimi nina mke wangu na mtoto mmoja ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi, huyu dada alikuwa ni mke wa mtu ila kwa bahati mbaya mume wake akatangulia mbele za haki.

Kwa kweli ni muaminifu sana, anajuwa mapenzi na pia yuko committed na maisha.

Mume wake hajamuacha vibaya sana kwani ni msomi na pia ana bishara mbili tatu.

Mimi tunashindwana na yeye katika mambo yafuatayo.

1. Anapenda kuendeleza uhusiano na na wale marafki ya marehemu mume wake

2. Anapenda sana freedom sometimes atoke nao dinner, drinks whatever ila anakuambia mahali kabisa alipo

3. Kuna wakati unaweza ukampigia simu akakwambia tuma text hawezi kuongea bila ya kukuambia alipo na anafanya nini.

Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.

Je wadau mimi niko right or not?

Yaani upo wrong hadi unapitiliza kiongozi. Mke tayari unae na mtoto pia. Hadi hapo familia yenu literally inaonekana a happy family bila ya hao wawili (mama ma mtoto) kujua a monster within.
Back to the topic, wewe unae mke so wewe unapokuwa na mkeo wewe ulitaka nani apigwe na baridi muda huo.
yeah you wanted freedom and you are stealing it, so the same applies to her stealing it from you.
So don't hate the player' hate the game baba.
Mwisho kabisa nakuambia acha michepuko bakia njia kuu.
 
Ebu tuambie na kaumri kako ili tujue tunakushaurije.
 
You are wasting time for nothing,why cant you take care of your family? Is it your work to deal with widows and get frustrated on their normal life? Come on work up and do something productive for your better life in future,,,,,cheers
 
Back
Top Bottom