Naombeni ushauri - serious

Naombeni ushauri - serious

Mimi nina mke wangu na mtoto mmoja ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi, huyu dada alikuwa ni mke wa mtu ila kwa bahati mbaya mume wake akatangulia mbele za haki. Kwa kweli ni muaminifu sana, anajuwa mapenzi na pia yuko committed na maisha. Mume wake hajamuacha vibaya sana kwani ni msomi na pia ana bishara mbili tatu.

Mimi tunashindwana na yeye katika mambo yafuatayo.

1. Anapenda kuendeleza uhusiano na na wale marafki ya marehemu mume wake
2. Anapenda sana freedom sometimes atoke nao dinner, drinks whatever ila anakuambia mahali kabisa alipo
3. Kuna wakati unaweza ukampigia simu akakwambia tuma text hawezi kuongea bila ya kukuambia alipo na anafanya nini.

Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.

Je wadau mimi niko right or not???

Acha gubu wewe kwani umemtolea mahari?Kamuulize mke wako akupe ushauri na ushauri atakaoutoa na sisi tutaufuata huo huo
 
Wewe ni hamnazo! tena ukome kabisaa kutaka ushauri w kipuuz namna hii..unamsalit mkeo then unataka ushauri..tena wewe ndo ulimuua huyo bwana ili ufaidi na mkewe...muone kwanza bichwa bayaa
 
Wat kind of person u ar???
Cjui watu wengne akili zpo wapi?? Unatumia akili kufikir ??
Una mke afu mzinzi unakuja Hapa kuweka huu Uzi wa kipuuzi shindwa...

Stay with ur wife love her muombe msamaha tulia utamletea mwenzio magonjwa.
 
Tena akukomeshe kabisaa,yaan wewe uoe halaf mimi hujanioa unipelekeshe na mme wangu hayupo lol,we mpelekeshe mkeo banaaa!!!!!
 
Acha michepuko kaka baki njia kuu kwani hujui mko wangapi mweeeee! Huonei Huruma familia yako we we?
 
Mkuki kwa nguruwe hiyo sio maana wewe unalala na mkeo kila siku na je umewahi kumuuliza anajiskiaje wewe ukiwa na mkeo? kwakua umeoa ni vyema ukatulia na mkeo tu hi.yo michepuko mwisho wake mmbaya. Tulia njia moja michepuko nomaa
 
Ningemjua huyo dada ningemwambia aendekee hivohivo kwani huna future nae acha afanye yake
 
Yaani hata mtoto wako humuonei huruma kuja hapa tukushauri namna ya kutenda dhambi ya usaliti wa ndoa yako?!

Ndugu umetudharau sana aise tuombe radhi.
 
hahahahhahaaaaa.......jamaa wamekupiga mawe kweli kweli...pole bana....hapa watu hawautaki ukafiri kama huo,,,,jilie kimya kimya...ibilisi hashauriwi......hahahahaaa...msalimie shemegiiiiii...
 
Hivi umekaa chini ni kufikiria unayoyafanya kama ni sahihi? Una mke na mtoto na bado una hawara mwingine kwa miaka miwili!!!!! Mkuu hebu tulia na ndoa yako,lea familia yako na pia muombe Mungu
 
Mimi nina mke wangu na mtoto mmoja ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi, huyu dada alikuwa ni mke wa mtu ila kwa bahati mbaya mume wake akatangulia mbele za haki. Kwa kweli ni muaminifu sana, anajuwa mapenzi na pia yuko committed na maisha. Mume wake hajamuacha vibaya sana kwani ni msomi na pia ana bishara mbili tatu.

Mimi tunashindwana na yeye katika mambo yafuatayo.

1. Anapenda kuendeleza uhusiano na na wale marafki ya marehemu mume wake
2. Anapenda sana freedom sometimes atoke nao dinner, drinks whatever ila anakuambia mahali kabisa alipo
3. Kuna wakati unaweza ukampigia simu akakwambia tuma text hawezi kuongea bila ya kukuambia alipo na anafanya nini.

Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.

Je wadau mimi niko right or not???

Mkiambiwa kama hamna uadilifu muoe wawili watatu mpaka wanne mnakaa mkiponda dini sasa unafanya nn una mke but stil unatembea na mke wa mtu pembeni tena mmewe alivyofariki ukafurahia bila Aibu sasa yamekushinda unakuja kusumbua watu jamvini bila aibu LOL.......Eti nimeoa lakn nna mwanamke wa pembeni

Upuuzi mtupu
 
Labda anaona sifa kum-cheat mkewe kwaiyo anataka na sisi tumsifie jaman
 
Mimi nina mke wangu na mtoto mmoja ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi, huyu dada alikuwa ni mke wa mtu ila kwa bahati mbaya mume wake akatangulia mbele za haki. Kwa kweli ni muaminifu sana, anajuwa mapenzi na pia yuko committed na maisha. Mume wake hajamuacha vibaya sana kwani ni msomi na pia ana bishara mbili tatu.

Mimi tunashindwana na yeye katika mambo yafuatayo.

1. Anapenda kuendeleza uhusiano na na wale marafki ya marehemu mume wake
2. Anapenda sana freedom sometimes atoke nao dinner, drinks whatever ila anakuambia mahali kabisa alipo
3. Kuna wakati unaweza ukampigia simu akakwambia tuma text hawezi kuongea bila ya kukuambia alipo na anafanya nini.

Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.

Je wadau mimi niko right or not???

Kwahiyo unaomba ushauri wa kuendeleza uzinzi?
 
Unataka tukushaur namna ya kutenda dhambi?? Hvi ww ni mwanaume kweli au ndio yale lesbian??
 
FUTA; DELETE KABISA!
Weweee! fikiria kama wewe ndio ungekuwa mke harafu mume wako anafanya hayo. AACHA.
 
Acha uzinzi tulizana na mkeo UKIMWI UPO NA UNAUA
 
Back
Top Bottom