Naombeni ushauri - serious

Nii bora ukabaki njia kuu-Main road...hiyo michepuko yaache mabajaji yapite
 

Jinsi ulivyompata wewe, na wenzio pia wanampata hivyo hivyo.

Epuka michepuko, Baki njia Kuu
 
hapo nilipobod...wewe huna uaminifu halafu unajidai unafagilia uaminifu.....acha uzinzi unatia kinyaa bora hata ungekaa kimya kuliko kuja kujichora hapa.....mmmfffyyyyuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Natamani nione umesema ulkosea kuomba ushauri
 
Hivi kabisa umekaza makalio yako na kuandika haya uliyoandika kwa minajili ya kuomba ushauri!!!

Unadhani sisi ni wazinzi wenzako???
umewaza kama mimi, yani nimebak namshangaaa, ilibidi nisome zaidi ya mara moja ili nihakikishe nimemuelewa maana nilihisi kama simuelewi, then nikarudi kusoma comments nione kama kweli nimeelewa sahihi loh MAJANGA
 
Nina wasiwasi kifo cha mumewe ulikisababisha ww ili abakie yeye mle raha kwa mali ya mshkaji,ww umechangia kifo cha jamaa,alaf huna aibu unaeleza hapa kumuonea wiv mke wa mtu,huna akili kabisa.
exactly
 
hatuwezi kukushauri kwasababu ww ndo mwenye uamuzi wa mwisho 2kikuambia mwache wkati unampnda huwezi mwacha.Ila tambua kuwa
1 utaivunja ndoa yak
2 utailetea familia yako magonjwa


TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
usipobadilika kwa hizi comments we basi tena
 

Mbona hueleweki?mara umsifie mwaminifu sana mara umkandie. Km kipengele namba tatu hapo juu!sasa uaminifu hapo uko wapi?endelea kujidanganya mwaminifu !unaacha kutulia na mkeo unahangaika na michepuko! Angekuwa mpenzi wako angekuwa anaenda outing bila wewe?
 
Unasema huyo kimada muaminifu wakati kuna baadhi unasema hawezi kukuambia yuko wapi wala hawezi kuongea na simu, tulia na mkeo....
 
Usione soo,sema nae
Kuhusu kusubiri,kuwa muaninifu
Au,kutumia condom.

Baba ni kichwa katika familia,ila huyu mleta mada katika familia yake yeye ni matter core😛

"Nlikuwepo":bolt:
 
Aiisee........!!!! hatari hatari:nono::nono::nono: baki njia kuu, mchepuko sio issue
 

Sasa kama wewe una mkeo na mtoto kwanini unataka kumnyima uhuru mwenzio? Yuko na wewe kwa ajili ya ngono tu, an si vinginevyo. Na umesema yuko vizuri kifedha kwa hiyo wala hahitaji pesa yako, anahitaji huduma ya ngono tu. Sasa wewe kinachokusumbua ni nini? Ukiwa kwa mkeo yeye akae ndani tu? Wenzio miteremko kama hiyo wanaitafuta hawaipati, wewe unaichezea, shaurilo!
 
Hii dunia kuna kitu kitakua kimepotea ndio maana inakosa uelekeo kabisa kama mume wa mtu na watoto wawili anaomba ushauri kuhusu hawara yake tena ana-justify anachofanya kwa nguvu zote hatuwezi kusema hatujalewa hapa tena mvinyo wa dhambi ya kurithi laiti MUNGU angekua anatoa adhabu zake km enzi zileee hakuna ambae angepona aseee mimi binafsi nakuombea ufumaniwe au ufumanie mkeo akisaliti uonje ladha yake kama ulikua unajua hauwezi kutulia ulioa ili iweje,kesho utakuja hapahapa kuuliza kwa nini watoto wako wamevurugwa kumbe chanzo ni sisi wazazi tulianza kuvurugika wao wanapita kwny nyayo zetu tu.
Tulia na mkeo
 
wewe ukiwa na mkeo unaweza kumpigia simu?
 
Mmh ndugu wewe kweli MTAMBO!!! Ungeomba ushauri kuhusu wewe na mkeo ingeleta mantiki. Hata haya huna kutafuta ushauri kuhusu kimada...khaaa....
 
Hizi ni pumba tuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…