Naombeni ushauri nnahisi nimerogwa!

Duhhh,kaka pole aseee,mitihani migumu sana umepitia mzee.
 
Sawa, nnalichukua na kulifanyia kazi

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini usiulize kama nimewahi kuchezewa? ila ni kawaida mnapoachana kila pande kuhisi imeonewa

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
nmeuliza nna maana yangu, mana kuna mtu wangu wa karibu alijikuta ameachishwa kazi siku hio hio anatoka ofisini na crown yake kasimama kwenye mataa roli likaja likamgonga nyuma likachakaza gari afu kama muujiza bima yake iliisha jana yake! imagine!!! jamaa aliomba kazi miaka mi3 hapati alihangaika akaja kuambiwa kuna mwanamke ulishakuaga nae serious unataka umuoe dada wa watu akabadili na dini process zinakaanza afu akapata demu mwingine ukamwacha basi kakunuia hutakaa ufanikiwe maisha... ndo mana nmeuliza kama umewahi kuchezea ndoto za mwanamke fulani
 
Hapana sijawahi, lakini nimewahi kuachana na mtu tuliyekuwa tunapendana

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako linaanzia hapo kuwaza kua umerogwa,kwanza toa hilo wazo kichwani mwako ili uwe free,
Kumbuka kua wewe sio mtu wa kwanza kupitia hayo unayoyapitia,kumbuka kua wapo watu wana shida zaidi yako,
Endelea kupambana,ukiona giza linazidi jua kua imekaribia kupambazuka,usikate tamaa,hiyo ni mitihani tu ambayo inahitaji uvumilivu,kumuamini Mungu na kupambana,

Usiwaze sana usije ukaharibu afya yako ambayo ndio mtaji wako mkubwa,

Good luck Brother.
 
Thanks brother

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
Wewe umewahi kwenda kwa mganga ukatoboa?

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
Sijaenda ila nina mpango wa kwenda

Watu wangu wengi wa karibu biashara zao zinaenda vizuri sana na wanAenda kwa waganga sana

zAmani mimi sikupenda haya mambo lakin sahv nimeanza kuyaamin,ukitaka mambo yako yaende vizuri haraka lazima uwaone wataalamu uoge

Maana huku kwetu kwa watu weusi unaweza fanyiwa ujinga na mtu ambae hata humjui na wala hana tatizo na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…