Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

BABA BOMBASTIC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
349
Reaction score
570
Habari za mda huu

Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?

Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza eneo kubwa na mzunguko utakuwa mkubwa.

Je, niwauzie vichupi au niangalie pamba kali za wadada?

Naombeni mnipe mawazo manzuri natanguliza shukrani.
 
Wauzie boyfriend.
 
Kwamba pikipiki laki 8?
 
Kuna nguo wanazipenda. Waulize tu hao watoto wa 2000 watakuonesha.
Kuna chupi zile zinakuwa full,kwanzia sidiria mpaka chupi ninanunua balo nzima then nitawauzia kwa bei ya afadhali kidogo namaanisha nitawapunguzia sio kama bei za dukani
 
Back
Top Bottom