KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 939
- 1,844
Soma Forex, am here kukusaidia kwa hilo na kuambia utasahau hiyo Data analytics maana hapa pesa nje nje ni wewe tuu uchukue kiasi gani kulingana na account yako ambayo ita determine risk management kiasi gani.Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.
Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?
Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.
View attachment 2905961
sawa hapo ni kama na buy time tuu lakini malengo nitafute digital skills moja ya kukomaa nayo mpaka niwe expert
Unasema kweli?Achana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I
Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.
Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
Forex tayari mwayaa nilijifunza mwenyewe mwaka 2016 nika trade currencies mpaka 2019 nikaanza kutrade volatility then nikaamua kutoa mtaji wangu nikaacha kwasababu nilikuwa sifiki malengo workdone=0. sasa hivi umri unakimbia nataka nipate skills ambayo naweza kufanyia kazi nikalipwa nisije kujikuta natembeza mchicha kwenye beseni ili watoto wapate kula 😂Soma Forex, am here kukusaidia kwa hilo na kuambia utasahau hiyo Data analytics maana hapa pesa nje nje ni wewe tuu uchukue kiasi gani kulingana na account yako ambayo ita determine risk management kiasi gani.
Ina tegemea na strategies ulizo kuwa una tumia je zilikuwa nzuri, mbona wengine wame fanikiwa kwanini iwe wewe. Zamani hakukuwa na wingi wa propfirm, mimi mwenyewe kwa mtaji niliyokuwa naweka dola 100, 200 kuunguza ilikuwa ni wimbo wa taifa, ila kwa sasa nipo kwenye propfirm zamani MFF ila ika fungiwa na mtaji wangu huko uzuri nili withdrawal kama mara 5 hivi, sasa nipo FundingPips nina mpango wa kuingia FTMO ili ku diversify hizi propfirms.Forex tayari mwayaa nilijifunza mwenyewe mwaka 2016 nika trade currencies mpaka 2019 nikaanza kutrade volatility then nikaamua kutoa mtaji wangu nikaacha kwasababu nilikuwa sifiki malengo workdone=0. sasa hivi umri unakimbia nataka nipate skills ambayo naweza kufanyia kazi nikalipwa nisije kujikuta natembeza mchicha kwenye beseni ili watoto wapate kula 😂
Asante huo mtaji sina na pia nimepoteza interest na forex siwezi kufanya kitu ambacho sina interest nacho lazima nitapoteza tuu.Ina tegemea na strategies ulizo kuwa una tumia je zilikuwa nzuri, mbona wengine wame fanikiwa kwanini iwe wewe. Zamani hakukuwa na wingi wa propfirm, mimi mwenyewe kwa mtaji niliyokuwa naweka dola 100, 200 kuunguza ilikuwa ni wimbo wa taifa, ila kwa sasa nipo kwenye propfirm zamani MFF ila ika fungiwa na mtaji wangu huko uzuri nili withdrawal kama mara 5 hivi, sasa nipo FundingPips nina mpango wa kuingia FTMO ili ku diversify hizi propfirms.
Mtaji wa chini dola 5000, dola 10,000 ni wewe tuu na hela yako ununue account kubwa kiasi gani kuna mpaka account za dola laki 2 so unakuwa huru ku trade na lots kubwa bila shida sababu mtaji una ruhusu.
Ujanja ni PROPFIRMS KWA SASA.
Usikate tamaa tafuta best strategy japo haipo ya accurate 💯 ila zipo zinazo toa matokeo mazuri mnoo ukiwa na consistency na good risk management.
Asante huo mtaji sina na pia nimepoteza interest na forex siwezi kufanya kitu ambacho sina interest nacho lazima nitapoteza tuu.
I need this chiefAchana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I
Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.
Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
Karibu sana. Madini nitakayo mpa nakuambiA 💯 na wewe utarudi kwenye game pia. Believe it or not. 💪kuna jamaa yangu ana trade akitaka kurudi nitakuunganisha naye ummpe madini
Hii course unalipia au ni bureMimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.
Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?
Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.
View attachment 2905961
KongoleMambo vipi. Nimepitia yote uliyoandika na nilichoelewa ni kwamba unahitaji kufanya Career Change uingie kwenye Tech Industry. Sijui kama nitakuwa nimekosea, ila kama ni kweli, utakuwa umefanya maamuzi mazuri sana.
Mwaka 2022 nikiwa na miaka 28 nilikuwa katika situation kama yako. Nilikuwa nahitaji kufanya career change pia kuingia kwenye Tech kutokea fani ya Electrical Engineering. Japokuwa nilikuwa nishapata kazi tayari kama electrical engineer, ila sikuacha hii ndoto inipite. Niliamua nijifunze Web Development kipengele cha Frontend Development tu, na nashukuru mungu, ndani ya miezi 8 nilimaliza course zote zinazohitajika. Hivi sasa ni Frontend Developer, na naipenda sana kazi yangu. NB: Sikusoma kwa hao ALX, ndio mara ya kwanza nimewasikia humu.
Ukiwa kama mtu unayeamua kubadili fani, ni vema sana kutumia muda kufikiri mara mbili ni kitu gani kilichokuvutia mpaka uhamie upande wa pili. Asilimia kubwa huwa ni fursa na maslahi mazuri. Wengine hufanya kwa sababu wanapenda tu kuwa na ujuzi tofauti. Pia ni sawa.
Kadiri nilivyosoma uliyoandika, sidhani kama nitakuwa nimekosea kukuweka kwenye kipengele cha fursa na maslahii mazuri. Ni kweli fursa ni nyingi na maslahi ni mazuri sana kwenye Tech. Mimi ni shuhuda. Nilifanya remote internship kwa miezi 6 mwanzoni mwa 2023, fedha niliyokuwa nalipwa, ilikuwa nzuri sana. Changamoto pekee kwenye Tech ni safari ya kujifunza yataka moyo sana na kutokukata tamaa. Utakutana na mdudu anaitwa BUGS (developers wanaelewa). Ila mwisho wa siku kila kitu huwa poa.
Hivyo ufuatao ndio ushauri wangu ili usibaki unasoma course nyingi nyingi ambazo sio milango mizuri sana kuingia kwenye Tech:
Kila la kheri katika kufanya maamuzi. Ukiwa na maswali uliza na usikatishwe tamaa na mtu yoyote. 🙂
- Tafuta mlango mwepesi ila wa uhakika wa kuingia kwenye Tech. Mimi nilichagua Web Development. Ina category tatu, ila nikaamua kujifunza tu Frontend Development. Zingine ni Backend Development na Full Stack ( FD + BD). Sijajua App Development kama ni mlango mwepesi, watakupa mwongozo wataalam.
- Tumia sana course za Udemy. Udemy ni mtandao wangu pendwa kujifunza course yoyote maana kuna videos ambazo unajifunza wewe kwa wakati wako. Japo ni ya kulipia ila kuna namna ya kupata hizo course for free kwenye torrent sites au site zingine zinazovujisha.
- Kujifunza vitu vingi online ni FREE. Sidhani kama ni wazo zuri kulipia hiyo course unayotaka kuisoma wakati unaweza kuipata course ya topic hiyo hiyo for free na ukasoma kwa muda unaotaka wewe. Kampuni zingine zinaishi kwa kuuza tu courses au kufanya tu semina, ndio maana wameanza kukushauri usome na zingine zaidi toka kwao.
- Data analyis sidhani kama ni Tech ila Data Science ni Tech( japo sidhani kama ni mlango mwepesi). Wataalam watakupa mwongozo. Soma hii link ...data analysis is not typically classified as an IT (Information Technology) job...
- Umri sio kigezo kabisa linapokuja swala la kujifunza ujuzi mpya. Watu wa umri tofauti tofauti hujifunza vitu vipya. Usikatishwe tamaa kwamba umri umeenda.
Asante kwa ushauri lakini nimebadili gear nataka nisome salesforce administrator, tatizo la kujifunza mwenyewe naona kama itanichukua muda mwingi kuelewa kwasababu sina background ya IT , nilitaka nianze na hao alx africa kisha nitakuwa naongeza ujuzi mwenyewe , nikifanikiwa kupata admission ya alxafrica hakika sitashindwa hiyo course . huko kwenye data science, naona sitaiweza hiyo labda nikae na mtu face to face anifundishe . kwenye web development naona front-end sio ngumu sana. kwa Sasa naangalia angalia nijikite kwenye salesforce administratorMambo vipi. Nimepitia yote uliyoandika na nilichoelewa ni kwamba unahitaji kufanya Career Change uingie kwenye Tech Industry. Sijui kama nitakuwa nimekosea, ila kama ni kweli, utakuwa umefanya maamuzi mazuri sana.
Mwaka 2022 nikiwa na miaka 28 nilikuwa katika situation kama yako. Nilikuwa nahitaji kufanya career change pia kuingia kwenye Tech kutokea fani ya Electrical Engineering. Japokuwa nilikuwa nishapata kazi tayari kama electrical engineer, ila sikuacha hii ndoto inipite. Niliamua nijifunze Web Development kipengele cha Frontend Development tu, na nashukuru mungu, ndani ya miezi 8 nilimaliza course zote zinazohitajika. Hivi sasa ni Frontend Developer, na naipenda sana kazi yangu. NB: Sikusoma kwa hao ALX, ndio mara ya kwanza nimewasikia humu.
Ukiwa kama mtu unayeamua kubadili fani, ni vema sana kutumia muda kufikiri mara mbili ni kitu gani kilichokuvutia mpaka uhamie upande wa pili. Asilimia kubwa huwa ni fursa na maslahi mazuri. Wengine hufanya kwa sababu wanapenda tu kuwa na ujuzi tofauti. Pia ni sawa.
Kadiri nilivyosoma uliyoandika, sidhani kama nitakuwa nimekosea kukuweka kwenye kipengele cha fursa na maslahii mazuri. Ni kweli fursa ni nyingi na maslahi ni mazuri sana kwenye Tech. Mimi ni shuhuda. Nilifanya remote internship kwa miezi 6 mwanzoni mwa 2023, fedha niliyokuwa nalipwa, ilikuwa nzuri sana. Changamoto pekee kwenye Tech ni safari ya kujifunza yataka moyo sana na kutokukata tamaa. Utakutana na mdudu anaitwa BUGS (developers wanaelewa). Ila mwisho wa siku kila kitu huwa poa.
Hivyo ufuatao ndio ushauri wangu ili usibaki unasoma course nyingi nyingi ambazo sio milango mizuri sana kuingia kwenye Tech:
Kila la kheri katika kufanya maamuzi. Ukiwa na maswali uliza na usikatishwe tamaa na mtu yoyote. 🙂
- Tafuta mlango mwepesi ila wa uhakika wa kuingia kwenye Tech. Mimi nilichagua Web Development. Ina category tatu, ila nikaamua kujifunza tu Frontend Development. Zingine ni Backend Development na Full Stack ( FD + BD). Sijajua App Development kama ni mlango mwepesi, watakupa mwongozo wataalam.
- Tumia sana course za Udemy. Udemy ni mtandao wangu pendwa kujifunza course yoyote maana kuna videos ambazo unajifunza wewe kwa wakati wako. Japo ni ya kulipia ila kuna namna ya kupata hizo course for free kwenye torrent sites au site zingine zinazovujisha.
- Kujifunza vitu vingi online ni FREE. Sidhani kama ni wazo zuri kulipia hiyo course unayotaka kuisoma wakati unaweza kuipata course ya topic hiyo hiyo for free na ukasoma kwa muda unaotaka wewe. Kampuni zingine zinaishi kwa kuuza tu courses au kufanya tu semina, ndio maana wameanza kukushauri usome na zingine zaidi toka kwao.
- Data analyis sidhani kama ni Tech ila Data Science ni Tech( japo sidhani kama ni mlango mwepesi). Wataalam watakupa mwongozo. Soma hii link ...data analysis is not typically classified as an IT (Information Technology) job...
- Umri sio kigezo kabisa linapokuja swala la kujifunza ujuzi mpya. Watu wa umri tofauti tofauti hujifunza vitu vipya. Usikatishwe tamaa kwamba umri umeenda.
Noobs akiingia huko naona kama atapata tabu hivi. Maana hiyo website content yake kiwango cha juu juu hivi.Start your data analytics journey with Python and R, learn with real examples: Live Programming and Computing with Python, R, Sage, Octave, Maxima, Singular, Gap, GP, HTML & Macaulay2
Ambayo ndio hiyo dollars 150Ni bure unalipia admission fee tuu
Ni discussion board. Anaweza kuuliza akikwama na kusaidiwa. Karibu sana.Noobs akiingia huko naona kama atapata tabu hivi. Maana hiyo website content yake kiwango cha juu juu hivi.