ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,914
- 2,971
Habari Ndugu zanguni?
Mimi nahitaji nitumie umeme wa solar maana nilipoweka makazi umeme wa tanesco haujafika.
Nataka nitumie
i) Taa (04)
ii) Kuchaji Simu (07)
iii) Sabufa (01) tu .
Je, napaswa ninunue solar gani na betri gani? Na nahitaji nipate mafundi wazuri wakunifungia vifaa hivyo. Pia nahitaji niwe natumia inverter na resistanca ili kuuweka umeme stable.
Ushauri Wenu naombeni.

njoo ofisni.
but ukitumia inveter unapata umeme wenyewe kabsa ambao utaweza kuweka chaja yako kwenye switch soketi.