Naombeni ushauri mji wa mwanza

Naombeni ushauri mji wa mwanza

Kweli Dar sasa pagumu!!! ikiwa mpaka maveterani wakina katoto kazuri wanapakimbia!!!!! aiseee kweli hali gnumu
 
Unajua kupigana kwa sasa sina hiyo nguvu waza unavyotaka mahumu wamekaa majitu yanastress tu namimi naraha zangu
Ahaaa kumbe....nikutakie kila la kheri mkuu kwenye safari yako ya kuyafikia malengo yako, haya mengine tuachane nayo.
 
Kweli Dar sasa pagumu!!! ikiwa mpaka maveterani wakina katoto kazuri wanapakimbia!!!!! aiseee kweli hali gnumu
Acheni uchokozi nimetoka kumpa mwenzio madongo sasa hivi sipendi dar ni joto kule kuolewa nope kila unayekuja wanadhani unadanga.
Sipapendi huko maisha ni kuact halafu shida na laana zipo huko.
Mwanza nikuzuri bado uhalisia wa watanzania upo hupo.
 
Wee hupajui Mwanza. Nakwambia ni afadhali ya dar mara mia
 
Unajua kupigana kwa sasa sina hiyo nguvu waza unavyotaka majitu ya humu yamekaa yanastress tena yanataka kunyanyasa wenzao unazani tumezaliwa kudanga watu wengine hawajui nini wanachojua nikutafuta kwa jasho zao acha unafiki uende mbinguni unaona humu nisehemu ya kujiuzia sasa kwa nani nakingine ujiuze kwa lipi? mimi naraha zangu nikome wewe kama umezoea kulala na malaya sio mimi mwehu wewe sura mbaya kama hutaki kufa chakubimbi wewe .
Haha unatukana wenyeji wako mkuu...umenifurahisha kweli!!karibu mwanza
 
Haha unatukana wenyeji wako mkuu...umenifurahisha kweli!!karibu mwanza
Nachukia mtu akiniambia na danga sipendi na sijawahi ndio napata hasira hata mimi kuitwa malaya
 
Dah mie mwenyeji wa mwanza ,, ila makao mazuri ni nyegezi,, buzuruga, , igoma na hata nyasaka kuna nyumba za nhc ,, ila now jipo huku kwenye jiji lenye mashoga tz nzima napambana na elimu ya chuo kikuu then kama ukitaka info njoo pm nina jamaaa zangu wapp SAUTI
 
SAUTI ndo wapi kiongoz
 
Karibu nyumbani Mwanza, utakayoyakuta mazuri na yenye maadili yachukue ukawafunze wengne, mwanza kuzuri
Mwanza kutamu
Mwanza raha.

Ayeeeh!!
 
Mkuu kila sehemu ina urahisi wake na ugumu wake kutegemeana na kipi hasa unachotaka kukifanya. Mwanza ni jiji so mzunguko wa pesa ni mzuri ingawa si kama dar. Bado mwanza chakula na makazi gharama zake si kali kulinganisha na jiji utokalo. Eneo lipi unataka kukaa inategemea hasa na unataka kufanya kazi gani na wapi. Mathalani kama unafanya kazi mjini, maeneo ya nyegezi, ghana, kirumba hayakupi tabu ya usafiri (kama unatumia usafiri wa umma ni gari moja tu).

Kama unataka kufanya ujasiriamali, biashara zifuatazo unaweza zifikiria.

Mazao hasa kutoa vijijini na kuleta mjini.

Mifugo, zunguka vijijini na kwenye minada.

Dagaa na samaki ingawa siku hizi kumekua na ukali kidogo wa kiserikali lakini bado biashara hii unaweza fanya.

Kimsingi mwanza as any city huwezi poteza hela yako kibiashara, muhimu tu akili yako usiifunge tu mwanza fikiria maeneo yanayokuzunguka mwanza.

Karibu mwanza. Ni mji mzuri!
 
Karibu Mwanza
Uku kitu cha gharama ni nguo ,viatu pia kwa wanaume
 
Back
Top Bottom