Naombeni ushauri mawazo yananitesa sana.

Kosa la usaliti huwa msamaha wake ni mgumu sana, anyway nawewe tafuta mke mwingine, aje ajue then utaishi na huyo mpya! Hapa amani ya moyo utaipata!
 
Kwenye movie yake ya Moses kuna sentensi Marehemu Kanumba aliitoa akasema.

'NEVER TRUST A DISABILITY DOG OR A CRIED WOMAN'

Jiongeze mkuu achana nae move on with your pride, not every loss is a loss.
 
Mchiti na wewe mkuu.
Muende sawa!!!
Maana hicho ndio kinachofanya moyo ukuume.
Balance equation tu.
 
Niamini mimi fukuza huyo mwanamke tafuta mwingine hao viumbe hawaaminiki mkuu, hawezi kuacha kamwe, ilakama unampenda bac kubali kubeba msalaba huo
Mtaniwia radhi kwa uandishi wangu ndugu zangu,mimi siyo mwandishi mzuri sana ila nitajitahidi mnielewe.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, nipo katika mahusiano na binti mmoja mwenye miaka 25 na sasa huu ni mwaka wa nne tupo katika mahusiano na tunapendana.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwani huyu mwanamke nimegundua siyo mwaminifu baada ya kukuta sms ktk simu yake akichat na mwanaume mwingine na huyo mwanaume akimuomba ampe tena penzi, (inavyoonekana tayari walishafanya kipindi cha nyuma). baada ya kuona sms hiyo nilimuuliza huyo mpenz wng mbona amenisaliti? alilia sana na akaniambia ni kwel amenisalit ila amefanya mapenz mara mbili tu na huyo mwanaume na hatarudia tena. Dah kiukwel niliumia sana kwa sababu toka nimekuwa naye kwenye mahusiano sijawahi kuchepuka hata siku moja. Alilia kwa siku tatu mfulilizo hadi nikamuonea huruma nikamsamehe ila bado moyo wangu unauma sana kila nikifikiria.

Huyu mpenz wang anafanya kaz mkoa mbali na niliopo na huwa tunaonana kila baada ya miez mitatu au minne wakat mwingine had mitano, kinachoniuma zaidi huyo jamaa aliyechepuka naye wanafanya kazi sehem moja na ana kitengo kikubwa kuliko yeye. Kwa sasa mpenz wng yupo huko kazn kwao ila roho inaniuma sana kila wakat nahis anachepuka na jamaa tu coz wapo sehemu moja.

Nilishamsamehe ila roho yangu inauma sana ndugu zangu naomben ushauri.Moyo unauma sana.
 
Yani unakaa na mchumba kwa miaka minne bila kuoa unaendekeza uzinzi halafu ukipigiwa unalalamiki, yeye hawezi kuona anaibu maana na wewe unavyomtumia bila ndoa na jamaa huyo nae anamtumia kama wewe maana anaona huna mpango nae. Kusema kuwa hujachepuka haisadii kitu
 
Dawa hapo ni kupiga chini tu bila hivyo jiandae kuwa muokota makopo.
 
Mtaniwia radhi kwa uandishi wangu ndugu zangu,mimi siyo mwandishi mzuri sana ila nitajitahidi mnielewe.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, nipo katika mahusiano na binti mmoja mwenye miaka 25 na sasa huu ni mwaka wa nne tupo katika mahusiano na tunapendana.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwani huyu mwanamke nimegundua siyo mwaminifu baada ya kukuta sms ktk simu yake akichat na mwanaume mwingine na huyo mwanaume akimuomba ampe tena penzi, (inavyoonekana tayari walishafanya kipindi cha nyuma). baada ya kuona sms hiyo nilimuuliza huyo mpenz wng mbona amenisaliti? alilia sana na akaniambia ni kwel amenisalit ila amefanya mapenz mara mbili tu na huyo mwanaume na hatarudia tena. Dah kiukwel niliumia sana kwa sababu toka nimekuwa naye kwenye mahusiano sijawahi kuchepuka hata siku moja. Alilia kwa siku tatu mfulilizo hadi nikamuonea huruma nikamsamehe ila bado moyo wangu unauma sana kila nikifikiria.

Huyu mpenz wang anafanya kaz mkoa mbali na niliopo na huwa tunaonana kila baada ya miez mitatu au minne wakat mwingine had mitano, kinachoniuma zaidi huyo jamaa aliyechepuka naye wanafanya kazi sehem moja na ana kitengo kikubwa kuliko yeye. Kwa sasa mpenz wng yupo huko kazn kwao ila roho inaniuma sana kila wakat nahis anachepuka na jamaa tu coz wapo sehemu moja.

Nilishamsamehe ila roho yangu inauma sana ndugu zangu naomben ushauri.Moyo unauma sana.
We ni fala sana, na utaendelea kupigiwa paka na ma house boy wako siku ukioa
 
Pole mkuu Mapenzi yanaumiza sana ila fanya moyo wako ukubali kuwa Hakuna uaminifu dunia ya leo. Kuvamiwa kama hivyo ni jambo la kawaida sana kwa sasa. Jitahidi moyo ukubali hali ikiwezekana Mkapime kwanza
 
Wacha uzito bob huyo demu chawote.distance relationship itamfanya kila siku atiwe.huyo ni nyoka lazima arudi shimoni ndo nyumbani kwake.
kiukwel naumia sana na kinachiniumiza zaid nilimwamin sana na nikamuheshim ila ndoivo kanisalit
 
Pole sana mkuu fanya maamuzi sahihi, miez mitatu, minne ad mitano kwa wapenz wa siku izi ni kudanganyana tu hapo, kakuambia n mara mbili ili apate unafuu wa kusameheka. Msaliti ni msaliti tu usikubali kuendelea kuumia kwa sababu yake atakusumbua sana na hvyo n long distance relation mawazo hayatokuwa mbali nawe.
nashukuru sana mkuu kwa ushaur, tulipanga tuoane mwakan lkn ndo nawaza kusitisha.coz sina aman ya moyo
 
Yope, Yope , Yope nimekuita mara tatu.
Yope achana na huyo kiumbe, Yope narudia tena achana naye utakuja kuumizwa hutoamini siku ya kuumizwa lako.
Usiyaamini machozi ya huyo kiumbe.
Mimi yalininitokea hayo naongea nachokijua,
Ex wangu alilia alilia na kuniomba radhi ,nilimsamehe, lkn haikupita miezi sita aliamua kunisaliti na kuondoka kusikojulikana.
Akiniacha na maneno ya kejeli na dharau.
Yope achana na huyo mwanamke hakufai. Usiwe mjinga kwenye mapenzi.
Wala usijifariji eti pengine alikusaliti kwasababu ya umbali wenu. Huu ni ujinga uliotukuka. Msaliti hapaswi kuvumiliwa.
Yope nimekuambia haya. Sio lazima uyachukue. Lakini mwisho wako sio mzuri na huyo mwanamke.
Ipo siku mtaachana tu hizo red flag sio za kupuuzia
Nashukuru sna mkuu, umeongea kwa hisia sana, kiukwel ili niishi kwa aman nawaza niachane naye, aliniomba msamaha nikamsamehe...ila sahv nimebadilika tena, nataka nitafute mda nimtembelee nimweleze niachane naye kwa aman kabs coz sipend beef ktk maisha.
 
NYEGE SIO MAVI/UHARISHO KWAMBA LAZIMA ANYE!!!!! HUYO NI MARAYA

Yoope yooooope yoooooooooope unajua hesabu za kuzidisha yoope...chukua 2 x 14 = ? Naomba unijibu yooope tafadhari...
mpenzi wako hajakucheat mara mbili...
Kuna mwanaume mwingine mtaani kwake tofauti na bosi wake anamla

Huyo boss wake ataendelea kumla sikuzote utake usitake,ukubali usikubali,

YOPE NAONGEA NAWEWE HUYO MWANAMKE SIO WA KWAKO TENA ACHANA NAYE TAFUTA MWANAMKE MWINGINE ATAYEWEZA KUVUMILIA HARI ZOTE.

AMINI WAPO
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako, nitauzingatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom