Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta leo

Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta leo

mwambie akurudishie gharama zako za lunch tu ili muachane kwa amani.
 
Kuna simple bitch na real bitch, hako ni kageni bado.
 
Hongera sana kwa ukomavu,
Achana nae, wapo wengi....
 
Nyote huyo mwanamke kawaona maboya tena wa kiwango cha lami ndio maana akawakutanisha
 
Takribani kama miazi 2 sasa nina-date na demu mmoja; tulikuwa tunachati na kupigiana simu na naweza mpigia mpaka hata saa 3 usiku na hamna shida yeyote na tunachati fresh tu, sasa Leo yamenikuta na mimi kama mwanaume nimeamua kushare na nyinyi wana JF wenzangu.

Ipo hivi, ilipofika kama saa moja na nusu hivi usiku nikaamua kumpigia manzi ili aje twende zetu tukapate msosi kwa sababu tumewahi kufanya hivi mara kadhaa, so leo ilikuwa sio kawaida kabisa, nimempigia toka muda huo mpaka saa tatu hivi ananiambia tu kwamba anakuja, mara oooh kuna kitu namalizia nitakuja.

Basi kidume nikaamua kuachana naye; nikiwa njiani naludi nyumbani nikaona simu inaingia yani yeye ananipigia na kuniuliza nipo wapi ili aje na tayari yupo kwenye pikpiki, basi nikamuelekeza nilipo, basi pikipiki inasogea kuja kucheki yupo na jamaa binafsi nilifikiri dereva boda kumbe ni jamaa yake na inaonekana alimtaiti kwa muda wote huo ambao Mimi nawasiliana naye.

Basi jamaa alipokuja akaanza kupaniki na kuanza kuja juu eti kwanini nimempigia yule simu manzi, mara ooh unajua alikua wapi wakati unampigia?

Wakati anaongea hayo yote namchek tu kama Cavu flani hivi, baadaye nikamjibu bro sikia sisi wote hapa tutaonekana makavu tulianza kuwakiana kwa ajili ya huyu mwanamke na nikamwambia kwanza anza kushangaa huyu manzi anaanzaje kuwasiliana na mimi au na wewe wakati ana mtu mwingine anayeweza kuwasiliana nae kama mpenzi?

Baadaye tukaongea tukayamaliza baadae jamaa akawasha pikipiki ili waondoke na demu, demu akawa anasuasua mimi nikamwambia apande waondoke kwa sababu walikuja wote.

Sasa naombeni ushauri, kuna haja ya kuendelea kufanya mawasiliano na huyu demu au nipotezee?
Achana na mtu asiye na msimamo
 
Sasa apo unaomba ushaur gan na unaona kabisa dem maPepe tena umejionea dalili
 
unaulizia mlango wakutokea wakati unauona hebu acha masihara
 
Wee boya kweli...

Umemketea mapenzi ya tamthilia za kifilipino..so umeona yaliyo kukuta
Binafsi sijapiga nilikuwa naendelea kumchezi ,na nilikuwa nampa mialiko mbalimbali kama ya lunch na kadharika ili niendelee kumcheki
 
Naomba namba yake.... nimpatie huduma ya kiroho
Hii issue hii..hii issue inaelekeana na vile najishtukia kwa huyu single mama!!

Manzi mkali kinyama, tako lipo, mweupe na mwanya!! Sasa, et HANA MWANAUME!!

Ujue najshtukia...

********************
UPDATE

(Wakati natype amekuja hapa kwangu ninapofanyia kazi) haya tuendelee..

...inawezekanaj mwanamke mkali hivi asiwe na njemba inayommiki!!!!

Jana naongea nae saa 5 usiku et NATAKA CHRISTMAS tutoke, nikasema QOOMERMERQEEEEE!!!
 
Mkuu wangu sasa hapa unataka nikushauri nn wakati kila kitu umekiona?
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Takribani kama miazi 2 sasa nina-date na demu mmoja; tulikuwa tunachati na kupigiana simu na naweza mpigia mpaka hata saa 3 usiku na hamna shida yeyote na tunachati fresh tu, sasa Leo yamenikuta na mimi kama mwanaume nimeamua kushare na nyinyi wana JF wenzangu.

Ipo hivi, ilipofika kama saa moja na nusu hivi usiku nikaamua kumpigia manzi ili aje twende zetu tukapate msosi kwa sababu tumewahi kufanya hivi mara kadhaa, so leo ilikuwa sio kawaida kabisa, nimempigia toka muda huo mpaka saa tatu hivi ananiambia tu kwamba anakuja, mara oooh kuna kitu namalizia nitakuja.

Basi kidume nikaamua kuachana naye; nikiwa njiani naludi nyumbani nikaona simu inaingia yani yeye ananipigia na kuniuliza nipo wapi ili aje na tayari yupo kwenye pikpiki, basi nikamuelekeza nilipo, basi pikipiki inasogea kuja kucheki yupo na jamaa binafsi nilifikiri dereva boda kumbe ni jamaa yake na inaonekana alimtaiti kwa muda wote huo ambao Mimi nawasiliana naye.

Basi jamaa alipokuja akaanza kupaniki na kuanza kuja juu eti kwanini nimempigia yule simu manzi, mara ooh unajua alikua wapi wakati unampigia?

Wakati anaongea hayo yote namchek tu kama Cavu flani hivi, baadaye nikamjibu bro sikia sisi wote hapa tutaonekana makavu tulianza kuwakiana kwa ajili ya huyu mwanamke na nikamwambia kwanza anza kushangaa huyu manzi anaanzaje kuwasiliana na mimi au na wewe wakati ana mtu mwingine anayeweza kuwasiliana nae kama mpenzi?

Baadaye tukaongea tukayamaliza baadae jamaa akawasha pikipiki ili waondoke na demu, demu akawa anasuasua mimi nikamwambia apande waondoke kwa sababu walikuja wote.

Sasa naombeni ushauri, kuna haja ya kuendelea kufanya mawasiliano na huyu demu au nipotezee?
 
Kosa liko hapa, punguzeni mambo ya kihindi
Binafsi sijapiga nilikuwa naendelea kumchezi ,na nilikuwa nampa mialiko mbalimbali kama ya lunch na kadharika ili niendelee kumcheki
 
"Eti babe kati yangu mimi na huyu bwege unamchagua nani" in Juma Nature voice
 
Back
Top Bottom