Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta leo

Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta leo

Hv dada naomba nikuulizie hili japo mm nmelisikia tu kwa watu

Kwamba mwanamke akifikia umri wa kujiona yuko tayari kuolewa hushauriwa kua na wanaume hata 2 au3 kama wanaume wanavyofanya kusudi achague yupi ni yupi anafaaa kua nae forever

Je, wewe ndo ungekua kwenye age hio ungefanyaje?

Mwisho wa siku sioni kosa la mdada kucheat kupo na sababu ni nyingi.

Hakuna excuse yoyote ya kucheat USICHEAT!! Ni hatari kwako na kwa wapenzi wako maana na wenyewe wana chain yao. Kama usipoleta magonjwa basi utaumiza watu wasio kuwa na hatia.

Yawezekana wenzako wanakupenda ila kumbe wewe upo kwenye kuchagua.
Hakuna umri sahihi wa kuolewa, ni pale utakapokutana na mtu na ukajua huyu sasa ni mume wangu hata kama hamjaamza hatua za kuoana, wewe mwenyewe utaona mienendo yenu na mkipendana kwa dhati mambo yanakwenda tu yenyewe.

Alafu ukiwa unaelekea kuoana na mtu hutakiwi kuna na option ya pili kabisaa, utakua bado hujawa tayari kwa ndoa.
Lastly kupata ndoa kwa sasa ni bahati, mwatu wengi sio waaminifu.
 
Piga chini Mzee, hapo inaonekana demu yuko na huyo jamaa kitambo so inaonekana wewe ndie umeingilia mahusiano yao!
 
Taarifa ya habari ushaiona bado unataka ushauri au unataka ile taarifa ya habari yakutwa nzima ndo akili zikukae sawa. Nahisi umepost ukiwa hujatulizana mkuu.
 
hilo ni swali tena la kuuliza piga chini . ila hatujakuelewa
 
Hakuna excuse yoyote ya kucheat USICHEAT!! Ni hatari kwako na kwa wapenzi wako maana na wenyewe wanachain yao.kama usipoleta magonjwa basi utaumiza watu wasio kuwa na hatia.yawezekana wenzako wanakupenda ila kumbe wewe upo kwenye kuchagua.

Hakuna umri sahihi wa kuolewa..ni pale utakapokutana na mtu na ukajua huyu sasa ni mume wangu hata kama hamjaamza hatua za kuoana...weww mwenyewe utaona mienemso yenu...na mkipendana kwa dhati mambo yanakwenda tu yenyewe.

Alafu ukiwa unaelekea kuoana na mtu hutakiwi kuna na option ya pili kabisaa..utakua bado hujawa tayari kwa ndoa.

Lastly kupata ndoa kwa sasa ni bahati..mwatu wengi sio waaminifu.
Kwahyo ni kama vanessa kukutana na rotimi kajua huyo ndo mumewe?!

Shukrani kwa maelezo
 
Takribani kama miazi 2 sasa n nadate na demu mmoja ,tulikuwa tunachati na kupigiana simu na naweza mpigia mpaka hata saa 3 usiku na hamna shida yeyote na tunachati fresh tu ,sasa Leo yamenikuta na Mimi kama mwanaume nimeamua kushare na nyinyi wana JF wenzangu .Ipo hivi ilipofika kama saa moja na nusu hivi usiku nikaamua kumpigia manzi ili aje twende zetu tukapate msosi kwa sababu tumewahi kufanya hivi Mara kazaa ,so Leo ilikuwa sio kawaida kabisa nimempigia toka muda huo mpaka saa tatu hivi ananiambia tu kwamba anakuja Mara oho kuna kitu namalizia nitakuja,basi kidume nikaamua kuachana nae ,nikiwa njiani naludi nyumbani nikaona simu inaingia yani yeye ananipigia na kuniuliza nipo wapi ili aje na tayari yupo kwenye pikpiki ,basi nikamuelekeza nilipo ,basi pikipiki inasogea kuja kucheki yupo na jamaa binafsi nilifikiri dereva boda kumbe ni jamaa yake na inaonekana alimtaiti kwa muda wote huo ambao Mimi nawasiliana nae .Basi jamaa alipokuja akaanza kupaniki na kuanza kuja juu eti kwa nini nimempigia yule simu manzi ,Mara oho unajua alikua wapi wakati unampigia? Wakati anaongea hayo yote namchek tu kama Cavu flani hivi ,baadae nikamjibu bro sikia sisi wote hapa tutaonekana makavu tulianza kuwakiana kwa ajili ya huyu mwanamke na nikamwambia kwanza anza kushangaa huyu manzi anaanzaje kuwasiliana na Mimi au na Wewe wakati ana mtu mwingine anayeweza kuwasiliana nae kama mpenzi ? ,baadae tukaongea tukayamaliza baadae jamaa akawasha pikipiki ili waondoke na demu ,demu akawa anasuasua ,Mimi nikamwambia apande waondoke kwa sababu walikuja wote ,sasa naombeni ushauri kuna haja ya kuendelea kufanya mawasiliano na huyu demu au nipotezee?
JF inaboa sana enzi hizi!!!!
 
Hv dada naomba nikuulizie hili japo mm nmelisikia tu kwa watu

Kwamba mwanamke akifikia umri wa kujiona yuko tayari kuolewa hushauriwa kua na wanaume hata 2 au3 kama wanaume wanavyofanya kusudi achague yupi ni yupi anafaaa kua nae forever

Je ww ndo ungekua kwenye age hio ungefanyaje?!

Mwisho wa siku sioni kosa la mdada kucheat kupo na sababu ni nyingi

Kwahyo ni kama vanessa kukutana na rotimi kajua huyo ndo mumewe?

Shukrani kwa maelezo
Natamani nikuelezee mengi ila trust me mumeo atakuja tu wala hutotumia nguvu kubwa na presha, muombe Mungu tu.
Ila USICHEAT kama mtu humuelewi achana nae, kuwa na mwingine unaempenda, usimpe mtu tumaini la uongo.

Uliza mama zetu na watu wazima wengine hapo ulipo, mmoja anatosha kama haitawork out ruksa kumove on kuwa na mwingine, ila usiwe na wawili kwa wakati mmoja.
 
Natamani nikuelezee mengi ila trust me mumeo atakuja tu wala hutotumia nguvu kubwa na presha...muombe Mungu tu.
Ila USICHEAT kama mtu umuelewi achana nae,kuwa na mwingine unaempenda...usimle mtu tumaini la uongo,
Uliza mama zetu na watu wazima wengine hapo ulipo,mja anatosha kama haitawork out ruksa kumove on kuwa na mwingine..ila usiwe na wawili kwa wakati mmoja
Watu wawili kwa wakati 1 mtihani ila nlisikia hilo kwa watu ndo maana na mm nikarefer.
 
watu waw kwa wakati 1 mtihani ila nlisikia hilo kwa watu ndo maana na mm nikarefer
Okey sawa. Ila kama umuelewi mtu achana nae.

Kuna mabaharia mashenzi watakufanya kitu kibaya sana. Si unajua watu wanaua.

Kama huyo kuja kutaitishwa na bodaboda mmoja amgekua anajaziba na mavisu si angekata korodani la mwenzie hapo
 
Hakikisha unafanya juuchini hadi umle haiwezekan a enjoy ofa zako burebure tu
 
Okey sawa.ila kama umuelewi mtu achana nae.
Kuna mabaharia mashenzi watakufanya kitu kibaya sana.si unajua watu wanaua...
Kama huyo kuja kutaitishwa na bodaboda mmoja amgekua anajaziba na mavisu si angekata korodani la mwenzie hapo
Hahahahaha sawa dada
 
Endelea kuwa mpenzi mtazamaji tu mkuu kama ilivyokuwa mwanzo,ila shukuru marinda yamesalimika
Binafsi sijapiga nilikuwa naendelea kumchezi ,na nilikuwa nampa mialiko mbalimbali kama ya lunch na kadharika ili niendelee kumcheki
 
Binafsi sijapiga nilikuwa naendelea kumchezi ,na nilikuwa nampa mialiko mbalimbali kama ya lunch na kadharika ili niendelee kumcheki
Daaadeki, yaani ulikuwa unagharamika kabla ya nanihiiiii?
 
Hii issue hii..hii issue inaelekeana na vile najishtukia kwa huyu single mama!!


Manzi mkali kinyama, tako lipo, mweupe na mwanya!! Sasa, et HANA MWANAUME!!

Ujue najshtukia...


********************
UPDATE

(Wakati natype amekuja hapa kwangu ninapofanyia kazi) haya tuendelee..

...inawezekanaj mwanamke mkali hivi asiwe na njemba inayommiki!!!!


Jana naongea nae saa 5 usiku et NATAKA CHRISTMAS tutoke, nikasema QOOMERMERQEEEEE!!!
 
Kwa usawa huu mtafute alipie vilunch kwanza then uje tena kutuomba ushauri
 
Takribani kama miazi 2 sasa nina-date na demu mmoja; tulikuwa tunachati na kupigiana simu na naweza mpigia mpaka hata saa 3 usiku na hamna shida yeyote na tunachati fresh tu, sasa Leo yamenikuta na mimi kama mwanaume nimeamua kushare na nyinyi wana JF wenzangu.

Ipo hivi, ilipofika kama saa moja na nusu hivi usiku nikaamua kumpigia manzi ili aje twende zetu tukapate msosi kwa sababu tumewahi kufanya hivi mara kadhaa, so leo ilikuwa sio kawaida kabisa, nimempigia toka muda huo mpaka saa tatu hivi ananiambia tu kwamba anakuja, mara oooh kuna kitu namalizia nitakuja.

Basi kidume nikaamua kuachana naye; nikiwa njiani naludi nyumbani nikaona simu inaingia yani yeye ananipigia na kuniuliza nipo wapi ili aje na tayari yupo kwenye pikpiki, basi nikamuelekeza nilipo, basi pikipiki inasogea kuja kucheki yupo na jamaa binafsi nilifikiri dereva boda kumbe ni jamaa yake na inaonekana alimtaiti kwa muda wote huo ambao Mimi nawasiliana naye.

Basi jamaa alipokuja akaanza kupaniki na kuanza kuja juu eti kwanini nimempigia yule simu manzi, mara ooh unajua alikua wapi wakati unampigia?

Wakati anaongea hayo yote namchek tu kama Cavu flani hivi, baadaye nikamjibu bro sikia sisi wote hapa tutaonekana makavu tulianza kuwakiana kwa ajili ya huyu mwanamke na nikamwambia kwanza anza kushangaa huyu manzi anaanzaje kuwasiliana na mimi au na wewe wakati ana mtu mwingine anayeweza kuwasiliana nae kama mpenzi?

Baadaye tukaongea tukayamaliza baadae jamaa akawasha pikipiki ili waondoke na demu, demu akawa anasuasua mimi nikamwambia apande waondoke kwa sababu walikuja wote.

Sasa naombeni ushauri, kuna haja ya kuendelea kufanya mawasiliano na huyu demu au nipotezee?
Kausha, mskilizie demu mwenyewe. Akilianzisha endelea naye. This time hakikisha unampa vya fasta halafu unakua unampotezea. Akitaka mwambie agharamikie shughuli mwenyewe. Hata kama ni outing agharamikie yeye. Kama kweli akiweza kutoa hela basi atakua anakupenda kweli
 
Back
Top Bottom