wabadilike kwani Kuna ambao wanapoteza vipaji vya watoto wao kisa kukariri haya mambo.. Mama angu dah ataki kusikia kabisa hivi ameniambia atak kuniona kisa kusema nataka kujiajiri mwenyewe..Kahustle tu mtaani..hii mentality ya 'mwanangu soma ufike hadi chuo kikuu upate kazi uwe na maisha mazuri'
Imemteka mamako...na wazazi wengi wa siku hizi wanayo..mi siipendi kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauriKitu kimoja ambacho watu wengi wanajuta kwenye maisha Ni kufanya mambo kuwapendeza watu.
Fanya unachopenda kwa juhudi zote wazazi wako watakuelewa baadae..
Kitu kimoja ambacho Ni chako na unamiliki wewe Moja kwa Moja Ni maisha yako sasa wewe una uamuzi uwe jambazi,uwe padri use mfanyabiashara, uwe mwalimu uwe mvuta bangi ...ishi kama una hati miliki ya maisha yako... wazazi wako walishakuleta duniani inatosha waheshimu ila sio kupangiana maisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauriDah pole sana,fanya unachokipenda wewe na unachoona kitakutoa katika maisha.
tatizo lugha
Upo?Kahustle tu mtaani..hii mentality ya 'mwanangu soma ufike hadi chuo kikuu upate kazi uwe na maisha mazuri'
Imemteka mamako...na wazazi wengi wa siku hizi wanayo..mi siipendi kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ndugu yangu.. wazazi wabadilikewabadilike kwani Kuna ambao wanapoteza vipaji vya watoto wao kisa kukariri haya mambo.. Mama angu dah ataki kusikia kabisa hivi ameniambia atak kuniona kisa kusema nataka kujiajiri mwenyewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana kaka.. Mungu akubarikiPole Mdogo wangu
Najua unachopitia si kwasababu Mimi ni muhanga lakini ni kwasababu wazazi Wetu wengi wamebebwa na hiyo dhana ya kutaka status.
Cha kufanya
1. Amini kwamba ulipaswa upitie hayo na Mungu ana makusudi Wewe kupitia hapo
2. Maisha ni ya kwako, sisemi udharau wazazi maana at the end of the day wazazi watataka kusaidiwa na Wewe
3. Amini ndoto zako, tumia jitihada zako na muombe sana Mungu.
4. Ajira ni ngumu kwa kipindi hiki na hata biashara pia lakini biashara Ina uafadhali wa kuingiza hata 500
5. Tafuta mtu ( mentor) naamini mtu aliyefanikiwa ukikutana nae ukamuelewesha lengo lako atakuelewa na kukusaidia kimawazo na zaidi ya hapo
Naamini Mungu ana kusudi na Wewe
Usikate tamaa...simama endelea na safari..Amini njia unayotaka kupitia