vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,497
Naomba namba zako nikwambie kituNipo sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba namba zako nikwambie kituNipo sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mwema unajua maana yake ???????
Mapema Sana inabidi ujifunze sio kisa mtu anakupenda au mzazi wako au rafiki yako Basi ushauri atakaokupa utakufaaa sio yeye tu hata wewe inabidi uelewe hilo mapema.
Na niliposema Ana hati miliki ya maisha yake nilikuwa na maana hata leo hii akiamua kuwa mvuta bangi bado ni maisha yake yeye ndo ataamua afanyaje na maisha yake.
Ukiamua kutumia maisha yako kufuata ushauri wa ndugu,jamaa na marafiki ni wewe na uamuzi wako....narudia tena maisha Ni yako ukitakae kuvuta bangi nayo sawa,kuwa jambazi sawa,kuwa Malaya sawa,kuwa mchungaji sawa...huyo unayemsikiliza Sana na yeye keshamaliza na na yake funny enough hana analojua kuhusu wewe Zaid yako wewe mwenyewe.
Nipe ushauri tusipangiane Cha kufanya kisa wewe Ni mzazi wangu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo ushauri dogo janja... biashara utazikuta tu huko mbele usiharibu homehapo kweli mtihani unao mdogo wangu, ni hivi ili uweze kuwa na amani na ufanye vitu kwa uhakika ni lazma utengeneze amani na wazazi wako mana mwisho wa yote wao watabaki wazazi na ndio kimbilio lako la mwisho na wewe bado mdogo sana kuanza maisha huku wazazi wako wakiwa na kinyongo na wewe, sasa fanya hivi wewe kubaliana nao, resit mtihani lakini huku mambo yako mengine unayotaka kufanya yakiendelea, mana kusoma hakumzuii mtu kufanya biashara kama kweli ana moyo wa kufanya hivyo, na hata ikitokea umefaulu vzr ukachaguliwa kwenda chuo we nenda mana hiyo degree itakuwa faida kwako pia, mbona wako vijana wengi wanasoma chuo lakini pia wanajishugulisha na biashara kiasi kwamba wakimaliza wala hawahangaiki na ajira na hata wakitafuta inakuwa sio kwa presha, na kingine kuwa na elimu ya chuo ni kama ngao kwenye maisha yako kesho na kesho kutwa biashara zimegoma kabisa utatafuta ajira ikusaidie kimaisha wakati unatafuta namna ya kutatua changamoto zilizojitokeza kibiashara au kimaisha kiujumla
Asante Sana kwa ushauriNakushauri anza kufanya hiyo biashara uliyopanga.. Kufika chuo kikuu kwa Siku hizi sio kigezo cha kuwa na maisha mazuri.. Ajira ni ngumu na mishahara ni ya kawaida sana...utakujapata stress zaidi ya hiyo..mambo yakiwa mazuri kwa biashara soma chuo masomo ya jioni.
Bila shaka hujafika chuoKahustle tu mtaani..hii mentality ya 'mwanangu soma ufike hadi chuo kikuu upate kazi uwe na maisha mazuri'
Imemteka mamako...na wazazi wengi wa siku hizi wanayo..mi siipendi kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa akifeli????nina mifano mingi sana ya watu wanaochukia watu wao wa karibu kwasababu hizo...Kurudia mtihani nako Ni kubaya
Akae agombane na mamake
Woiiiii
Ina mcost kusoma?? Mtihani ushalipiwa...
Au dogo ana wasiwasi atapiga zero this time.
To me namshauri afanye mtihani aepuke migogoro isiyo na lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikitika Sana mzazi wangu kwa uwelewa wake anao uamini #badoSasa akifeli????nina mifano mingi sana ya watu wanaochukia watu wao wa karibu kwasababu hizo...
Wadhungu walijua Hilo mapema kuwapa watoto freedom of choice, by the way hizi elimu zetu hizi zina mchango mdg Sana Kwenye kufikia financial freedom....
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikitika Sana mzazi wangu kwa uwelewa wake anao uamini #bado
mama ameweka kinyongo na mm kwann lkn dah.. Mind yangu kwa sasa cwez fanya mtihani tena niseme uhakika natusua najua vizuri adv ilivyo... mungu anisaidie kwa wakati mgumu nilokuwa nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa akifeli????nina mifano mingi sana ya watu wanaochukia watu wao wa karibu kwasababu hizo...
Wadhungu walijua Hilo mapema kuwapa watoto freedom of choice, by the way hizi elimu zetu hizi zina mchango mdg Sana Kwenye kufikia financial freedom....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu suala la kusoma.. siyo kitu simple simple hauna budi kujitoa kama umeamua kusoma #nilishindwa kutathmini mawazo na ushauri nikasema nifanye mtihani tena mama angu alikuwa na mawazo Sana nikasema ngoja nifanye hivi ili asiumie lkn nimekuja tambua akili yangu au mind ilishabadilika na mwezi huo huo nipofanya uamuzi nikasema kwann nimefanya vile.. mda mwingi nilikuwa najifunza kuhusu biashara mbali mbali.. nikaona huku patanitoa kuliko kusoma ili niajiriwe nikasema mda wa kufanya vitendo umefika.. hili suala la kusoma halikuwa tena akilini mwangu.. Siwezi Sema mm nifanye mtihani wakat najua kama nacheza kamari sina maandaliz kufanya umefanya umezingua eti kumridhisha mzazi sidhani kama ni sahihi.. mtu au mzazi anaweza chukulia kusoma ni rahic lkn kusoma kunahitaji moyo wa kusoma siyo akili peke yake....Hapa Ni kuwa unaogopa kufeli basiii
Si kwamba una mawazo ya biashara...
Eti anafanya research.....haya kafanye biashara mdogo wangu
Biashara Ni rahisi Sana na hivi unafanya utafiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kijana niliyekulia ktk familia ya kipato cha kawaida Sana.. Nilianza safari yangu ya kusoma kwa kujituma toka shule ya msingi na kuvuka hadi advance nikiwa na imani iliyo kwenye mind yangu nije kuwa na maisha mazuri lkn pia nilikuwa nikiwaza Sana maisha yatakuwaje baadae kwani nimesomeshwa na mama na mama yangu ana amini mwanaye nitakuwa na maisha mazuri baadaye nikija kuajiriwa.
Sasa baada ya kumaliza kidato cha Sita mwaka 2018 nilijiamini nitatoboa kabisa sikuwa na hofu nilichukua combination ya pcm lkn mambo yakawa tofauti kabisa nikashindwa kukizi vigezo vya kwenda chuo..
Baada ya kurudi toka jeshi sikuwa vizuri nikifikiria nimekosea wapi mbona mtihani nilifanya vizuri nikifikiria mengi mpaka nikahisi kuchanganyikiwa kwa sababu matarajio yamekuwa tofauti na mama yangu naye na mawazo kibao akiamini maisha kwangu ndio basi kwa kweli nilikuwa na wakati mgumu weak Zapata 3 au 2..
Ndani ya hizo siku nilijawa na wazo nirudie mtihani lkn nilishaomba ushauri Sana kwa watu hadi wazazi wa wenzangu nakumbuka niliambiwa achana na hayo mawazo kubaliana na yaliyo tokea chukua uamuzi mwengine lkn nilitaka kufanya kumridhisha mama nikalipiwa gharama za mtihani lkn baadae nikawa na wazo la kufanya biashara nitoke kimaisha Kwan kusoma lengo litakuwa ni kuajiriwa na hilo jambo halitafanya nifike ndoto zangu kwani nina malengo mengi sana hivyo huu uamuzi wa kurudia mtihani nilijutia sikuwa najishughulisha kabisa na kusoma zaidi kutumia mda wangu kufanya tafiti za biashara mbali mbali..
Imefikia mda sasa nataka kufanya vitendo ili nifike lengo kuu.. sasa mama aliniuliza mbona sikuoni ukisoma itabidi nimwambie kitu ambacho nalenga kufanya na mtihani sitofanya kwani nimeona maisha yamebadilika ni wakati wa kubadili fikra zetu kujiajiri siyo kuajiriwa..
Mama yangu hataki kabisa wazo langu na ameongea Sana anaamini siwezi kuwa na maisha mazuri kama sitofika chuo kikuu.. yeye na mzee wameongea Sana na nimeambiwa kama nina mawazo hayo basi niondoke nyumbani nikatafute mama aliyenizaa
Nipo na mawazo mengi sana mama yangu amekasirika na hataki kuniona nimesikitika Sana wazazi wetu kuwa na mawazo haya... Ameongea Sana kiasi hata mm mwenyewe nina mawazo Sana sijamvunjia heshima mama yangu lkn yamekuwa haya..
Naombeni ushauri nifanye nini kijana wenu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ungefanyaje labda mkuu #mana hukua na maamuzi au jitihada kuhusu mtihani #kama ujuavyo maisha ya kitaa #kFuata usemi usemao: ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU
Ww ungefanyaje labda mkuu #mana hukua na maamuzi au jitihada kuhusu mtihani #kama ujuavyo maisha ya kitaa #k
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri mwanangu, kwa sababu umesoma pcm basi nadhani una akili za kutosha kubadili uelekeo,angalia fursa kwenye kilimo(horticulture etc)na ufugaji (poultry,fish,cattles) halafu jitafiti ungependa wapi zaidi halafu nenda moja kwa moja kwenye vyuo husika.Angalia fursa kwenye sekta ya afya basi nenda huko, biashara nenda vyuo husika. Balance kupenda na kuweza/kumudu fani. Hapo lenga advanced diploma, kuajiriwa lakini uwepo uwezekano wa kujiajiri baada ya kitambo fulani.Mimi ni kijana niliyekulia ktk familia ya kipato cha kawaida Sana.. Nilianza safari yangu ya kusoma kwa kujituma toka shule ya msingi na kuvuka hadi advance nikiwa na imani iliyo kwenye mind yangu nije kuwa na maisha mazuri lkn pia nilikuwa nikiwaza Sana maisha yatakuwaje baadae kwani nimesomeshwa na mama na mama yangu ana amini mwanaye nitakuwa na maisha mazuri baadaye nikija kuajiriwa.