Wavuta bangi huwa wanaangalia mtu. Ameona labda wewe ni mpole, laini na mwoga ndiyo maana anakutishia lengo umpe pesa hana lolote huyo.Wakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Mkuu umesema yote. Jamaa kakaa kinyonge sana. Nadhani ndio maana jamaa kamchukulia oya oya.acha uoga wewe
kwani haukupita jkt ili uwe mkakamavu
Ndio nyie ht ukiumwa kichwa unampigia mzazi au mlez kulalamika. Gangamara uwe imara
Nimesikitika sana jinsi ulivyo
mh kwa mtu anaetumia visu hapanakaa tayari kwa mapambano
Kavute RB na umweleze kuwa umemtaja kwa lolote baya likikupata. Pia akianza kupuliza moshi ita makamanda waje wamnywe akanyee debe.Wakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Wewe unadhani ni jambo jepesi kudhuru..... asilimia kubwa watu wa hivyo ni wadhaifu sana ukisimama nao kiume.......mh kwa mtu anaetumia visu hapana
Kila mtu Kuna kitu anaogopa msome vizuri utakipata na wakati huo unafanya kutafuta angle ya kuweka mguu sawa siku akikufata we iambie adrenaline Yako iwe kwa amani au kwa Shari Niko tayari pambana haswa jifunze hiki kitu bro ni heri ufe kuliko kumuogopa mwanaume mwenzako unaweza usinielewe ila huo ndio uhalisia mi mtu pekee namuogopa ni mwanamke na mtoto Hawa huwa sijui namna ya ku revenge kwao ila mwanaume kama weweHataki mazungumzo ya amani, wala sio msikilzaji , huwezi kuongea naye kirafiki akakusikiliza.
Nenda polisi kaandikishe maelezo kwamba ukipata janga lolote muhusika ni yeye kisha chukua RB hifadhi ndani na hakikisha mjumbe wa eneo hilo awe anajua kila kinachoendelea yeye ndio atakuwa shahidi mbeleni.Huyo jamaa ni mvuta bangi na ana magenge yake sasa hapo mkuu nakaaje na amani
Hii ni kweli inawezekana wamemuona jamaa ana muonekano wa kishua wanataka awe anatoa hela sema shida akitoa hela leo kesho wakimuona wanaomba tena itakuwa ni mchezo endelevu.Solution 2:
Mvuta bhangi ni miongoni mwa watu wanaopenda hela.
Toboka Teni tuu mambo yatakaa sawa mpe mshikaji
Hii Mikwara wanafanyaga wakina Ndaro na Steve Mweusi kwenye Comedy zao ukikutana na aliyepinda zaidi hii njia yako hutoboi.Nunua bangi siku moja nenda kijiweni kwao vuta wakuone na wewe sio mnyonge alafu tamka kuwa muda wowote kuna mvuta bangi hapoo mtaani utammaliza huku ukiongea kwa jazba nakumbia kuwa huyo mbwiga hachukui round lazima achimbe
Ni mbinu ambayo unatakiwa ukienda kuitumia uwe umeandaa vizuri nyonga na miguu ili kikitokea chochote uweze kuchimba mzeeHii Mikwara wanafanyaga wakina Ndaro na Steve Mweusi kwenye Comedy zao ukikutana na aliyepinda zaidi hii njia yako hutoboi.
Utasikia wanaambiana hoya majita leo disko imeingia Mmasai ngoja tumfundishe michezo.
Simama naye mtu mbili tuWakuu kwema.