The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 95
- 361
We mfate muulize vizuri ujue shida nini, mweleweshe tuu atakuelewa, unaweza kupotezwa kweli .Wakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Naweza kumsema then polisi wakampa onyo tu , kwa maelezo yake anadai hana familia wala ndugu anaweza ondoka muda wowote hapo akifanya uhalifu, sasa naweza kwenda polisi ndio nikachochea jamaa akatowekaNenda polisi kamseme
Hataki mazungumzo ya amani, wala sio msikilzaji , huwezi kuongea naye kirafiki akakusikiliza.We mfate muulize vizuri ujue shida nini, mweleweshe tuu atakuelewa, unaweza kupotezwa kweli .
Wakati huo umeshatoa taarifa police ila wasiende kumbana moja kwa moja kabla wewe haujaongea nae
Nenda karipoti kituo karibu cha Polisi, hakuna ushauri mwingine zaidi ya huuWakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Huyo jamaa ni mvuta bangi na ana magenge yake sasa hapo mkuu nakaaje na amaniAnayefanya jambo hasemi.......
Stand your ground as man......
Hivyo ndivyo dunia ilivyo....utashtaki wangapi.......
Huyo jamaa amekuleta kwenye dunia ya wanamume.....na ili uwe mwanaume lazima uivuke mitihani ya kiume......
Kaa kiume kaa tayari kwa mapambano....usiruhusu nafsi ya woga kujenga mizizi kwenye kifua chako.....
Dunia ni katili sana kwa wanaume waoga na wazembe.......
Samahani mkuu, kwani wewe ni binti? Mbona unatia sana huruma?Naweza kumsema then polisi wakampa onyo tu , kwa maelezo yake anadai hana familia wala ndugu anaweza ondoka muda wowote hapo akifanya uhalifu, sasa naweza kwenda polisi ndio nikachochea jamaa akatoweka
Basi kama ni hivyo we jaribu kuongea hata na ndugu yake, huenda ana matatizo yake binafsi...Hataki mazungumzo ya amani, wala sio msikilzaji , huwezi kuongea naye kirafiki akakusikiliza.
Nataka amani tuSamahani mkuu, kwani wewe ni binti? Mbona unatia sana huruma?
Mh! ila hebu ngoja kwanza mkuu unaweza kutupa picha yako maana mpaka mvuta bangi kukushuku kuwa umemuibia huenda kukawa na kitu cha ziada!..πNaweza kumsema then polisi wakampa onyo tu , kwa maelezo yake anadai hana familia wala ndugu anaweza ondoka muda wowote hapo akifanya uhalifu, sasa naweza kwenda polisi ndio nikachochea jamaa akatoweka
Aende polisi akamchambe sio πNenda polisi kamseme
Sawa mkuu shukrani.Basi kama ni hivyo we jaribu kuongea hata na ndugu yake, huenda ana matatizo yake binafsi...
Narudia tena wakati unafanya hayo yote hakikisha taarifa ziko polisi
Ila KENZY πMh! ila hebu ngoja kwanza mkuu unaweza kutupa picha yako maana mpaka mvuta bangi kukushuku kuwa umemuibia huenda kukawa na kitu cha ziada!..π
by the way kuwa makini bangi hupindua watu akili japo wavuta bangi hujiona wapo sawa!, hapo kwa ulinzi wako binafsi anza nawewe kuwa unatembea na siraha!, usikubali ukaporochoka kirahisi!.
Sawa mkuu , AsanteMh! ila hebu ngoja kwanza mkuu unaweza kutupa picha yako maana mpaka mvuta bangi kukushuku kuwa umemuibia huenda kukawa na kitu cha ziada!..π
by the way kuwa makini bangi hupindua watu akili japo wavuta bangi hujiona wapo sawa!, hapo kwa ulinzi wako binafsi anza nawewe kuwa unatembea na siraha!, usikubali ukaporochoka kirahisi!.
Mpe ushauri ndugu mtoa mada.vipi mkuu..?