URGENT: Naombeni ushauri wapendwa

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
hello
Urgent

Nahitaji ushauri seriously naombeni sana wenye hekima tu ndo mnishauri nimechanganyikiwa mie

Jana baada ya kutangaza ofa wanaume waje kwa pm yangu ,nashukuru sana walikuja kwa wingi..

Inshallah sio haba kila mja alikuja na Sera yake mengine ni ya private mzuri mie niyaweke moyoni nitayajadili kesho saloon na kikoba.

Kuna man mmoja wapo ameonesha exactly nia ya kuhitaji kabisa kuwa na mie leo saa 7 mchana nimekutana nae hapa mlimani city jamani nilivyopendeza nadhani hakuna mwanaume anayeweza kuniona asichanganyikiwe nilitupia ka gauni kangu kekundu nikipendacho sana.

Summarization I met with a real gentleman na wala sikuwa kuwaza ningeweza kukutana na mwanaume HB,smart with a lot of money like this Gentleman.

Ameniahidi kuniamisha na kunijengea Nyumba Tabata,anataka kunifungulia duka la nguo makumbusho ila kwa masharti mawili tu.

Nimzalie mtoto wa kiume Maana hajawahi kupata mtoto wa kiume na pili anifanye niwe mke wa pili.

Jamani naombeni ushauri urgently majibu anaitaji ndani ya hii wiki.
 
Summarization I met with a real gentleman na wala sikuwa kuwaza ningeweza kukutana na mwanaume HB,smart with a lot of money like this Gentleman.

Ameniahidi kuniamisha na kunijengea Nyumba Tabata,anataka kunifungulia duka la nguo makumbusho ila kwa masharti mawili tu.
Chai hii😆😆😆
 
Mmekutana Leo na unaomba ushauri Leo hata masaa 12 hayajapita.. kakuelezea maisha yake yooote pia.. umejua Kila kitu unakimbilia kuomba ushauri!!

Huwa hausomi hata nyuzi za humu kuhusu kukutana na watu wa mtandaoni!!!

Embu tulia acha kuwa this desperate.. hayo amekutajia Mwambie afanye kwanza ndio utavua pichu..

Aisee hii yako Kali ya Mwaka.. kama mwana JF.. ikiwa yeye wa kweli basi tulia muende kwa hatua.. khaaaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom